Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 4,124
- 6,141
Kiwanda cha magari hakigharimu fedha nyingi sana mfano ukiwa na tsh billion 300 unaweza fungua kiwanda cha magari kizuri cha kisasa navyosema ni ndogo ni pale navyo-compare na smelting na refining na sio na kitu kingine
Gari linatumia vitu vifuatavyo kulitengeneza
Ili utengeneze gari Tanzania inakubidi vitu nilivyovitaja hapoo juu uvi-import kwa maana hiyo hata ukisema unimport hivyo vitu basi gari utakalotengeneza hapa Tanzania litakuwa expensive na halitaweza kushindana kwenye soko la dunia
Ili tuweze kutengeneza magari hapa Tanzania inatakiwa tuwe na better ecosystem ya smelter kama ya steel, Aluminium, glass, petrochemical na pcb kama sehemu ya kuwa na better supply chain nzuri
NIKIWA RAIS WA TANZANIA KUTAKUA NA MPANGO WA KUZALISHA MAGARI UNIT MILLION 10 KWA MWAKA HII ITAKUWA NA FAIDA NYINGI SANA KWA NCHI
www.jamiiforums.com
Gari linatumia vitu vifuatavyo kulitengeneza
- Steel kwa ajili ya bodi ya gari na parts za engine
- Aluminium kwa ajili ya kutengenezea parts za engine
- Copper kwa ajili ya kusuka mota kwenye swala la magari ya umeme
- PcB kwa ajili mfumo wa umeme wa gari
- Silicon wafer kwa ajili ya kutengenezea semiconductor kumbuka magari yanatumia semiconductor
- Glass kwa ajili ya vioo
- Plastic
- Natural Rubber kwa ajili ya matairi
Ili utengeneze gari Tanzania inakubidi vitu nilivyovitaja hapoo juu uvi-import kwa maana hiyo hata ukisema unimport hivyo vitu basi gari utakalotengeneza hapa Tanzania litakuwa expensive na halitaweza kushindana kwenye soko la dunia
Ili tuweze kutengeneza magari hapa Tanzania inatakiwa tuwe na better ecosystem ya smelter kama ya steel, Aluminium, glass, petrochemical na pcb kama sehemu ya kuwa na better supply chain nzuri
NIKIWA RAIS WA TANZANIA KUTAKUA NA MPANGO WA KUZALISHA MAGARI UNIT MILLION 10 KWA MWAKA HII ITAKUWA NA FAIDA NYINGI SANA KWA NCHI
Support hustle zangu mimi Rais mtarajiwa wa Tanzania
Maandalizi na mchakato wa kuwa Rais wa Tanzania yanaendelea at the same time harakati za kutafuta rizki zinaendelea in-short maisha lazima yaendelee JAMANI NAOMBA MNIUNGISHE Historia nzuri ni ile inayoandikwa in an ugly way, and awkward way 👇👇👇👇👇👇👇👇 Kwenye historia ya Tanzania ntakumbukwa kuwa...