Good analysis.Nadhani kujenga ukuta kila mahali si suluhu,na tutakuwa tunakimbia tatizo
Kwa nini watanzania wanaona afadhali kuuza bidhaa nchi jirani kuliko hapa nchini?
Maana si Tanzanite tu,hata mahindi,watanzania wanatamani kuuza mahindi yao Kenya,Sudan Kusini,Malawi,huko wanapata faida kubwa ambayo huirejesha nchini,au hubaki hapa nchini,je na huko tujenge ukuta kuwazuia wasipeleke mahindi nje? Ukuta ndio suluhu?
Kahawa,wananchi wanapeleka kahawa kenya na Uganda hata kwa magendo,sababu ni nini? Huko wanapata bei nzuri sana ambayo inawalipa maradufu kuliko wakiuza nchini,je tujenge ukuta kuzunguka mikoa ya Kilimanjaro ,kagera na kwingine inakolimwa?
Sehemu nyingi za nchi zinachimbwa Dhahabu,almasi,na madini mengine mengi, je na huko tujenge ukuta?
Nchi hii si itajaa ngome kila mahali?
Nashauri serikali itafiti, kwa nini watanzania wanapeleka Tanzanite kwa njia yoyote ile kule wanakopeleka,vinginevyo nchi hii itajaa ngome na kura za Matofali
Wataalamu wa biashara wakae chini watatue tatizo kitaalamu
Nadhani kujenga ukuta kila mahali si suluhu,na tutakuwa tunakimbia tatizo

Jidula hebu mshaurini huyo ndugu yenu. Hivi kweli kwa akili yake anadhani kujenga ukuta, kuweka kamera za ulinzi na kutumia geti moja ndio tiba ya wizi wa Tanzanite??
Sasa mkimshauri ninyi halafu akakataa basi atakuwa ni sikio la kufa.
Wengi hawajui ref zimbabwe black diamondsKm za mraba 87 wow thamani ya tanzanite inatokona Na mauzo ya nje hao wazungu wakisabotage soko? Na hizo tanzanite chini zimemebaki kiasi gani? Kufidia gharama Na kuleta faida au ndo kujenga kila Kona kujenga jamaa bado anadhani yupo wizara ya ujenzi au
Jionee mwenyewe inavyotokea kwingine!!!Pingapinga naona mmeshavamia kama kawaida yenu. Ukuta utajengwa na vifaa vya ulinzi vitawekwa. Endeleeni kujidanganya muone kama mnaweza kushindana na Serikali inapoamua Jambo na kutilia mkazo. Mnafikiri kwa nini jukumu hilo wamepewa JWTZ na sio kandarasi za kawaida! MAJIZI ya rasilimali zetu Mtajuta kuifahamu serikali ya awamu hii.
Hapa ndipo anaposhindwa magufuli kutengeneza mfumo wa kudumu yeye anatengeneza mifumo ya zima moto. Huyu jamaa yaonekana hata vitabu huwa hasomi huyuCha msingi ni kuondoa wachimbaji wadogo wote ili utaratibu maalum uwekwe na wizara ya madini.
Changamoto za uchimbaji holela wa madini uwekewe sera inayoeleweka, na itumike itumike nchi nzima.
Ni kuboresha zaidi siyo kupinga mkuu!Pinga pinga united. Rais amefanya jambo jema.