Kujenga ukuta Mererani haitaweza kutatua tatizo la utoroshaji wa madini

Angalia sana mkuu, msukule unaweza kuwa wewe usiyejua kutumia akili ingawaje umejalia kuwa na kichwa kizuri.

Kichwa kisiwe cha kutunzia nywele na kuzichana kila asubuhi, kitumie kufikiri vile vile, na ukumbuke kuwa kichwa si pambo!

Tunatoa maoni mbadala ili uchumi na rasilmali zetu ziwatumikie watanzania vile vile na si wageni.

Nyie msio na uwezo wa kuafakari mawazo mbadala, kuboresha hali iliyopo ni bora mkapige deki vyoo ingalau mtumike vizuri.
Hoja yako ni nini? UZANDIKI umewajaa mpaka unawavuja.
Shame on you.
 
Hoja yako ni nini? UZANDIKI umewajaa mpaka unawavuja.
Shame on you.
You haven't answered to my allegations on your failure to use your head effectively.
Uzandiki wa nini wakati hii ni nchi yetu, me included.
Tafadhali rest with the realisation that you lack an analytical head.
Throwing uzandiki around does not improve your point of view
 
Tumia kiswahili ili nikujibu kutokana na upeo wa akili yako. Kuniongelesha kingereza wakati hukunisomesha hata twisheni ni dharau kwa watu wa makamo. Shubaaaaaaamit!
 
Tumia kiswahili ili nikujibu kutokana na upeo wa akili yako. Kuniongelesha kingereza wakati hukunisomesha hata twisheni ni dharau kwa watu wa makamo. Shubaaaaaaamit!
Mkuu jiridhishe na fact kuwa umepotea njia.
Huu ni uwanda wa Great Thinkers, mawazo yako si kwamba ni mabaya, ila yako chini ya viwango.
 
Mkuu jiridhishe na fact kuwa umepotea njia.
Huu ni uwanda wa Great Thinkers, mawazo yako si kwamba ni mabaya, ila yako chini ya viwango.
Labda nionyeshe hapo nilipopotea njia ili nitambue jinsi ya kupandisha "kiwango" changu.
Bila ya hivyo utakuwa kama hao misukule ambao kutwa wanatukana na kukejeli watu bila kuwa na hoja za msingi. Mimi nimeheshimu mtazamo wako, kwa nini na wewe usiwe mvumilivu na kuheshimu mtazamo wangu!? Sio lazima tufanane kifikra na mitazamo, Ila ni muhimu kutumia hoja za msingi katika kupingana na kuelimishana. WanaSiasa wametupandikiza SUMU YA CHUKI kali sana. Ni wajibu wetu kutumia Hekima, Busara na Utu kwa Maendeleo ya jamii na usalama wa Raia kwa ujumla.
 
View attachment 593349
Pamoja na nia njema ya Rais wetu kudhibiti Tanzanite katika machimbo huko Mirerani, hii ya kujenga ukuta kuzunguka eneo zima la Mirerani laweza kutotatua tatizo hata kwa chembe.

Tukumbuke tunaongelea wachimbaji, huko wanaitwa nyoka!

Sifa kubwa ya hawa wachimbaji wadogo ni kukosa any sort of order katika uchimbaji wa madini hayo.

Ugomvi mkubwa wa Tanzanite One na hawa achimbaji wadogo ni kwamba wakifika huko chini ya ardhi, its a lawless land down there.

Nyoka anafuata mkondo wa jiwe la Tanzanite kule linakoenda iwe juu, chini, mashariki au kusini.

Jiwe likienda hata nje ya mipaka mliyowekeana juu ya ardhi huko chini hakuna beacon ya kuonyesha hiyo mipaka.

Changamoto yangu hii hapa:
Je mtu tayari amejengewa ukuta, na ana mawe yake mfukoni, kwani kuchimba mtaro mwingine chini ya ardhi ili kutorosha atashindwa nini?

Hili ni swala mbalo huko Israeli waPalestina wanawasumbua sana waYahudi katika kuingiza silaha huko ukanda wa Gaza.

Si vibaya wizara ya madini ikalifikiria hili kwa makini.
Nia ya Ras ni njema, lakini methodology ya kutatua tatizo ina ukakasi.

Kibonzo source: The Guardian, leo 22/9/2017
Toa na solution siyo unasema tatizo halafu hauna suluhisho lolote. Ningeielewa hoja yako japo kidogo pale ungesema na solution hata kama ya uongo mfano ijengwe fensi ya seny'enge
 
Toa na solution siyo unasema tatizo halafu hauna suluhisho lolote. Ningeielewa hoja yako japo kidogo pale ungesema na solution hata kama ya uongo mfano ijengwe fensi ya seny'enge
Nenda kajenge ukuta kwanza, kitakachotokea mtakuja tu solution. Solutions mnazo sema tu mizuka ndiyo imetawala akili.
 
Ukuta utasaidia angalau kuokoa hata asili mia hamsini au zaidi ya wizi. Kuna aliyesema mtu akishapata madini yake atachimba chini kwa chini akatokee nje ya ukuta. What a job my friend? Ili ukwepe kodi tu? Hizo gharama na risks nazo umezifikiria? Isitoshe ukuta ukishajengwa juu ya kuta hizo kutawekwa security cameras na mataa. Hizi cameras zitapeleka picha za chochote kinachopita nje na ndani ya ukuta. Ukionekana unaibukia nje ya ukuta utatumiwa helicopter iliyo hapo kwa ajili ya ulinzi na askari wanaweza wakiamua wakupige risasi. Sasa haya yote ya nini ndugu? Kukwepa kodi tu?
 
Cha kuongezea ile kauli pale kutolewa msifikiri hakuna ulinzi utaoboresha ndani na nje na ulinzi huo sio lazma watu washike mabunduki,,,,ila watakuwa wengi kama wachimbaji ndipo hapo usadikike umechimba shimo au unachomoka na mzigo,,,,
 
Yani hawa vijan waliyopewa kazi ya kupinga kila jambo akili zao ni fupi mno ,,,hvi mleta uzi wafikiri ukuta ukiwekwa na kamera za kisasa ndio ulizi utaishia hapo?????? Huu muda sasa hata watakao ingia mgodini kutakua na idadi ya watu wapo kwaajili ya kuzibidi na kutambua mianya ya utoroshaji ,,,na tambua watakua kama wachimbaji hapo ndio mtaelewa kupiga kwenu ni upumbavu,,,,,so sio kila unayefanya naye kazi ni mwenzako yupo mwingne mwenye uchungu na taifa ,,,god bless maguu
 
Naona wapigaji wote sasa wako katika hali "U-CRITICAL but STABLE"
 
Yani hawa vijan waliyopewa kazi ya kupinga kila jambo akili zao ni fupi mno ,,,hvi mleta uzi wafikiri ukuta ukiwekwa na kamera za kisasa ndio ulizi utaishia hapo?????? Huu muda sasa hata watakao ingia mgodini kutakua na idadi ya watu wapo kwaajili ya kuzibidi na kutambua mianya ya utoroshaji ,,,na tambua watakua kama wachimbaji hapo ndio mtaelewa kupiga kwenu ni upumbavu,,,,,so sio kila unayefanya naye kazi ni mwenzako yupo mwingne mwenye uchungu na taifa ,,,god bless maguu
Kuwa na akili kidogo na kishirikishe kichwa chako kujibu hoja.
Soma tena na tena mada, sijapinga juhudi za Rais, ila nimeonyesha shortfalls.
Msio na akili mnafikiri kila aonyeshaye mapungufu basi anapinga juhudi za Rais!
Hii ni 21st Century, think man THINK!

Maudhui ya bandiko langu ni kuboresha system nzima ya uchimbaji na isiwe kama ya hso nyoka mashimoni.
Hao nyoka wenyewe wameuwawa na wafanyakazi wa Tanzanite One mara kadhaa huko chini ya ardhi ambako hakuna mipaka.
Sasa kutorosha hayo madini je?
 
Jidula hebu mshaurini huyo ndugu yenu. Hivi kweli kwa akili yake anadhani kujenga ukuta, kuweka kamera za ulinzi na kutumia geti moja ndio tiba ya wizi wa Tanzanite??

Sasa mkimshauri ninyi halafu akakataa basi atakuwa ni sikio la kufa.
 
Huo ukuta ni uzezeta uliopitiliza. Halafu kuna watu wanapongeza. Jamani Tanzaniano!
 
Back
Top Bottom