Kujenga interlocking paving blocks au concrete slabs kwenye yard na kuweka mitaro

potokaz

JF-Expert Member
Jul 19, 2011
530
486
Ukiwa mmiliki wa kiwanda, godowns, petrol station garage au una yard yako na unataka kuiweka katika mazingira nadhifu kwa kujenga paving blocks -vitofali imara vya kuhimili uzito mkubwa au zege imara yenye uwezo wa kubeba uzito mku na mkubwa life span zaidi ya 20 years bila ujenzi mpya.

Hii ni pamoja na mitaro yenye kufanya kazi kwa ufanisi na kutoa ushauri wa kitaalamu kuondoa tatizo la maji kutuama kwenye yard yako.

Wasiliana na wahandisi waliosajiliwa na wenye uzoefu toka kampuni iliyosajiliwa na bodi ya makandarasi Tanzania.

Tutakuandalia michoro
Tunakushauri kuhusu ujenzi
Kufuatilia vibali vya ujenzi
Kuandaa makadirio ya gharama ya kazi
Kujenga kwa viwango vinavyotakiwa

Wasiliana Engineer kwa simu 0718751524

Tunashukuru kwa ushirikiano
 
Back
Top Bottom