Kuna fomu natakiwa kujaza then niitume kwa email,
iko kwenye pdf format ,nashindwa kuijaza ikiwa ktk software,
je napaswa kuiprint then niijaze halafu niiscan ndo niisend au inawezekana kuijaza ikiwa ktk software?
Msaada tafadhali?
Heshima mbele.
No, huhitaji kui-print. Unaijaza hivyo hivyo ikiwa katika soft copy. Cha msingi hakikisha una PDF reader latest, mf. Adobe Reader X, FoxitReader 5 au Nitro PDF reader. Hizi ndogo ndogo kama Sumatra au outdated Adobe zitakusumbua.
By the way unatumia PDF reader gani kwa mashine yako?