Je ni mtu wa msongo wa mawazo !? Hebu tujalibu mtindo huu, Chukua kikamba kidogo na funga kwenye kidole chako cha pili baada ya dole gumba kwa dakika 5-10 kila siku.
Itakusaidia Ubongo wako kuachia glands maalum ili kupunguza stress na deep depression ingawa sio kila mmoja mtindo huu unaweza kuwasaidia ila jaribu kama kwako inaweza kufanikisha kupunguza mawazo.