KUJARIBU NI KUFANIKIWA

KUJARIBU NI KUFANIKIWA

RASCO BOY

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2018
Posts
428
Reaction score
485
Je ni mtu wa msongo wa mawazo !? Hebu tujalibu mtindo huu, Chukua kikamba kidogo na funga kwenye kidole chako cha pili baada ya dole gumba kwa dakika 5-10 kila siku.

Itakusaidia Ubongo wako kuachia glands maalum ili kupunguza stress na deep depression ingawa sio kila mmoja mtindo huu unaweza kuwasaidia ila jaribu kama kwako inaweza kufanikisha kupunguza mawazo.
FB_IMG_1536521204450.jpg
 
utafiti huu kwa mara ya kwanza ulifanyika na kitengo nyeti cha mirembe
 
Back
Top Bottom