Kuna baadhi ya wanandoa au wapenzi au wanafunzi wanaolala pamoja wanalalamika sana tatizo la wenzao kujamba usiku kucha na vinanuka balaa. Hebu fikiria mkeo au mumeo wa maisha anajamba mfululizo usiku kucha huku mmejifunika shuka moja ni sooo. Sasa nini ufumbuzi wa tatizo la mtu anayejamba mfululizo wakati wa usiku? Madaktari ndani ya JF tusaidieni kwa hili? Je kuna dawa yake? au kuna chakula maalumu?