Kujamba most enjoyable

Yo Yo

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2008
Posts
11,210
Reaction score
1,743
Kila mtu alishawahi kujamba....unajiskiaje ukijamba? raha eeh? unazijua aina za vijambo?

Hamisiii...hiki kina mlio mwembambaaa sauti ya kwanza mara nyingi ni cha kulazimisha hivi ukizubaa kinaweza kutoka na nnya.

Abdallaaaa......hiki kina mshindo mnene sauti ya mtetemo.....hakina harufu sana.....ukijamba mbele za watu kausha usijiangalie angalie

Yusufuuu...hiki ni balaa aiseee hakina mlio kina hewa mbaya ni noma.....kula mayai ya kuchemsha na safari beer....ni noma kama ukikitoa kwenye lift wenzako watashuka watakuacha.....nakumbuka jamaa mmoja alikuwa akijamba yusufuuuuu tulikuwa tunakimbia class wote....jamaa alikuwa anakula kila kitu afu anacheua kama n'ombe anakula tena....huyu jamaa alikuwa noma aiseee.......

Japan kuna mashindano ya kujamba kwa alieshi japan anajua.....ukumbini kama pale diamond jubileee kila kwenye kijambo anakitoa unawekewa kipaza kwenye nnya na sharti kisikike...bingwa anazawadia kombe na fedha taslimu....

Ukibanwa na kijambo jamba...ukikibana utaumwa tumbo.....ukiwa kwenye dala dala wewe jamba tu....usione aibu
 
Hee niliingia hapa suddenly am recognize nimeingia kusiko gender yangu!
Doo saalaalee!
 
Last edited by a moderator:
yoyo umetisha kwa kuchambua aina zote za vijambo japokuwa majina uliyotimia yote ya upande mmoja tu!!!

Daaaah akili ni nywele kila mtu na zake!!!!

Wala hatishi !
Mbona sie mtaani kwetu , kuna mshkaji anajambaga milio yote ya Nokia unayoijua ! Na recently ameanza kujaribu na ya Motorola !
 
Last edited by a moderator:
Ninafeel harufu mbaya ya ushuzi kwenye sredi hii... Natamani mleta mada Yo Yo avimbiwe mayai ya kuchemsha mnisamehe.
 
Last edited by a moderator:

Huku kwetu ukijamba tunalipia ushuzi.
 
Sehemu nyingine ukijamba ni tangazo la biashara we jamba ovyo tu kwenye daladala watu wajue kama mashine yako haijafanyiwa overhaul uona kama hawajakutongoza
 
Ninafeel harufu mbaya ya ushuzi kwenye sredi hii... Natamani mleta mada Yo Yo avimbiwe mayai ya kuchemsha mnisamehe.
bwhaahahahah umeniukumbuska nilikuwa naenda moro....nikakae na shori mmoja nahisi alikuwa denti yule....aiseee kutoka ubungo imagine kanywa supu ya kuku an chapati moja.....kufika kibaha akanunua korosho akazila akanunua na machenza ....mie nam uangalia tu.....

Kufika chalinze kadaka mahindi ya kuchoma alafu akaomba afungiwe na mayai mawili ya kuku wa kienyeji ya kuchemsha....aiseeeeeee nilipoona hivo nikamnon'goneza konda aniotafutie siti nyingine....mbele kidogo akaanza kuanchia yusuuphuuu kimya kimya...mie nikasimama nikajifanya navimba miguu nifanye mazoezi....aisee pande ile kila mtu ana kigazeti anapepea matusi kibao...bwahahaha uzuri cha yusuphuu huwezi kujua ni nani.....

yoyo umetisha kwa kuchambua aina zote za vijambo japokuwa majina uliyotimia yote ya upande mmoja tu!!!

Daaaah akili ni nywele kila mtu na zake!!!!
bwahahaha arifu mbona majina ya waliochaguliwa NEC ni upande mmoja hujalalamika.....
Hee niliingia hapa suddenly am recognize nimeingia kusiko gender yangu!
Doo saalaalee!
yah hapa hakuna shemale.....katafuta wenzako kwingine.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…