Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Dec 21, 2012 #1 Roho I radhi Kuwakaribisha lakini Mwili ni Dhaifu...........Hali ya uchumi hairuhusu sana.............
Roho I radhi Kuwakaribisha lakini Mwili ni Dhaifu...........Hali ya uchumi hairuhusu sana.............
H hippocratessocrates JF-Expert Member Joined Jul 1, 2012 Posts 3,598 Reaction score 1,545 Dec 21, 2012 #2 Not that sitaki wageni ila kuna watu hata iweje watakuja tu,..watakwambia si lazima tukae kwenye sofa!Hata vigoda au chini, tutaketi tu.
Not that sitaki wageni ila kuna watu hata iweje watakuja tu,..watakwambia si lazima tukae kwenye sofa!Hata vigoda au chini, tutaketi tu.
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Dec 21, 2012 Thread starter #3 hippocratessocrates said: Not that sitaki wageni ila kuna watu hata iweje watakuja tu,..watakwambia si lazima tukae kwenye sofa!Hata vigoda au chini, tutaketi tu. Click to expand... kwa mkwala huu wakikomaa kuendela kuwepo nafungulia mbu................
hippocratessocrates said: Not that sitaki wageni ila kuna watu hata iweje watakuja tu,..watakwambia si lazima tukae kwenye sofa!Hata vigoda au chini, tutaketi tu. Click to expand... kwa mkwala huu wakikomaa kuendela kuwepo nafungulia mbu................
Marumia JF-Expert Member Joined Feb 11, 2012 Posts 644 Reaction score 213 Dec 21, 2012 #4 Akufkuzaye hakwambii toka! Duh..
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Dec 21, 2012 Thread starter #5 marumia said: akufkuzaye hakwambii toka! Duh.. Click to expand... hapo ndipo nilikua nalenga marumia
Safari_ni_Safari JF-Expert Member Joined Oct 5, 2007 Posts 23,263 Reaction score 17,140 Dec 21, 2012 #6 Sisi tunaendelea na lililotuleta kwako..........kaa na mikochi yako
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Dec 21, 2012 Thread starter #7 Safari_ni_Safari said: Sisi tunaendelea na lililotuleta kwako..........kaa na mikochi yako Click to expand... nilitaka mniamini tu jinsi hali ilivyo mbaya, nilichoweza ni kuwagonganosha kwenye bondo, hapo mwenye spidi ndiye atasahau kochi................
Safari_ni_Safari said: Sisi tunaendelea na lililotuleta kwako..........kaa na mikochi yako Click to expand... nilitaka mniamini tu jinsi hali ilivyo mbaya, nilichoweza ni kuwagonganosha kwenye bondo, hapo mwenye spidi ndiye atasahau kochi................
Safari_ni_Safari JF-Expert Member Joined Oct 5, 2007 Posts 23,263 Reaction score 17,140 Dec 21, 2012 #8 Amavubi said: nilitaka mniamini tu jinsi hali ilivyo mbaya, nilichoweza ni kuwagonganosha kwenye bondo, hapo mwenye spidi ndiye atasahau kochi................ Click to expand... Wazungu tumewaachia maharage samaki ziko kwetu
Amavubi said: nilitaka mniamini tu jinsi hali ilivyo mbaya, nilichoweza ni kuwagonganosha kwenye bondo, hapo mwenye spidi ndiye atasahau kochi................ Click to expand... Wazungu tumewaachia maharage samaki ziko kwetu
Fidel80 JF-Expert Member Joined May 3, 2008 Posts 21,944 Reaction score 4,511 Dec 21, 2012 #9 Unajua matunda yake yanaitwaje? Yanaitwa flaisha.............
St. Paka Mweusi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2010 Posts 7,991 Reaction score 5,234 Dec 21, 2012 #10 Safari_ni_Safari said: Sisi tunaendelea na lililotuleta kwako..........kaa na mikochi yako Click to expand... Hapo kama wakiendelea kuja unawaambia wawe wanakuja na unga wao kabisa,samaki wa kulumangia nitajipigapiga....
Safari_ni_Safari said: Sisi tunaendelea na lililotuleta kwako..........kaa na mikochi yako Click to expand... Hapo kama wakiendelea kuja unawaambia wawe wanakuja na unga wao kabisa,samaki wa kulumangia nitajipigapiga....
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Dec 22, 2012 Thread starter #11 Safari_ni_Safari said: Wazungu tumewaachia maharage samaki ziko kwetu Click to expand... Huu ni msemo mkubwa sana kwa mustakabali wa Tanzania
Safari_ni_Safari said: Wazungu tumewaachia maharage samaki ziko kwetu Click to expand... Huu ni msemo mkubwa sana kwa mustakabali wa Tanzania
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Dec 22, 2012 Thread starter #12 Fidel80 said: Unajua matunda yake yanaitwaje? Yanaitwa flaisha............. Click to expand... mh, dadavua mkuu hapa
Fidel80 said: Unajua matunda yake yanaitwaje? Yanaitwa flaisha............. Click to expand... mh, dadavua mkuu hapa
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Dec 22, 2012 Thread starter #13 mia kabisa St. Paka Mweusi said: Hapo kama wakiendelea kuja unawaambia wawe wanakuja na unga wao kabisa,samaki wa kulumangia nitajipigapiga.... Click to expand...
mia kabisa St. Paka Mweusi said: Hapo kama wakiendelea kuja unawaambia wawe wanakuja na unga wao kabisa,samaki wa kulumangia nitajipigapiga.... Click to expand...
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Dec 22, 2012 Thread starter #14 Amavubi said: mia kabisa Click to expand... wakikomaa zaidi unawapa ugali kwa harufu ya sox
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Dec 22, 2012 Thread starter #15 Safari kwangu ni dona u kwenda mbele siwezi wapa sembe katu asilani abadani
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Dec 22, 2012 Thread starter #16 Marumia said: Akufkuzaye hakwambii toka! Duh.. Click to expand... hapo unajifukuza mwenyewe tu kilaini, tena nitaanza kufunika vitambaa lote kudadadeki
Marumia said: Akufkuzaye hakwambii toka! Duh.. Click to expand... hapo unajifukuza mwenyewe tu kilaini, tena nitaanza kufunika vitambaa lote kudadadeki
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Dec 22, 2012 Thread starter #17 hili huwa ni maalum kwa Jumapili na siku za sikukuu
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Dec 22, 2012 Thread starter #18 St. Paka Mweusi said: Hapo kama wakiendelea kuja unawaambia wawe wanakuja na unga wao kabisa,samaki wa kulumangia nitajipigapiga.... Click to expand... safari kwangu kunavija lakini kwako kunawaka MOTO AISEE
St. Paka Mweusi said: Hapo kama wakiendelea kuja unawaambia wawe wanakuja na unga wao kabisa,samaki wa kulumangia nitajipigapiga.... Click to expand... safari kwangu kunavija lakini kwako kunawaka MOTO AISEE
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Dec 22, 2012 Thread starter #19 fidel80 said: unajua matunda yake yanaitwaje? Yanaitwa flaisha............. Click to expand... natafuta chanzo, hapo siweki matunda, utawavutia zaidi labda kama yanawasha
fidel80 said: unajua matunda yake yanaitwaje? Yanaitwa flaisha............. Click to expand... natafuta chanzo, hapo siweki matunda, utawavutia zaidi labda kama yanawasha
D Dispach Member Joined Dec 23, 2012 Posts 93 Reaction score 11 Dec 24, 2012 #20 ukitaka kuonesha roho mbaya zaidi unalimwagia maji siku ya sikukuu