Kuiwakilisha JF Leo, Running To The Finishing Line!

kitu nilichokipenda kwa william ni uhubutu,kujiamin,na uwezo wa kumudu stress za jf...!

kila la heri
Humjui William wewe, wenzako moderators hapo wanakucheka tu, huyu huwa anapiga simu kabisa baadhi ya post zifutwe lakini huwa akikutana na Moderator ngangari huwa wanampotezea tu, huyu jamaa amezoea kule Facebook aki update status tu basi anagongewa LIKE na comment za kumtukuza, ukienda kinyume na anavyopenda yeye anadelete comment yako au anakublock kwenye friends wake.
Le Mutus, Le Baharia, Sauti ya Umeme, The Big Show, @ New York, USA!!.......kwa sifa hizo tu huyu jamaa anafiti zaidi kuwa Meneja wa Ngwasuma na wala si vinginevyo.
 

Taarifa ni kuwa jamaa alichangisha sana hapa Dar kabla ya kuelekea Dodoma........Kusaga mmoja wa wachangiaji wake wakubwa!
 
Nitawashangaa wabunge wakikuchagua wewe uliyeikimbia nchi na kuwaacha "watanzania" wa kweli wanaoishi hapa!
 
Sijawahi kuchangia chochote kuhusu mtu huyu, lakini baada ya kuona Ah ah ah zake nimeconclude kuwa hafai hata chembe, is'nt obvious kuwa ni opportunist ukianzia na ush.zi wake wa "Nassari Mungu ibariki Tanzania" my foot! Unajua anachosimamia Nassari?
He is very low and ambitious for all the wrong reasons.
 

Thanks mkuu, lugha mkuu! JF inasomwa na watu wengi duniani una hiari ya kuchagua kuandika kiswahili au kingereza, usinielewa vibaya lakini.
 
Kwa le mutu le baharia hamna kitu kabisa! Hata kila anachoandika hapa ni ha! Ha! Ha! Utafikiri ni kama vile jambazi kuu linavyocheka kwenye movie. We unafaa kuwa meneja wa wazee wa, Masauti,,wazee wa mujini wazee wa sugua kisigino etc lakini si ubunge wa ea.
 

Kuna hizi issues mbili kwenye red:
1. Ndani ya Tanzania na miongoni mwa Watanzania, hilo suala la land ownership limekuwa jiwe ndani ya kiatu. Watanzania wanalia, wanateseka, wanateswa kwa sababu viongozi wanawanyang'anya ardhi. Ukiniambia unakwenda kwenye jumuiya kulitetea hilo itaaminika kuwa unakwenda kuwatetea viongozi waliowanyang'anya wananchi ardhi ili waendelee kufanya hivyo bila ya kuwa na ushindani, na wala sio vyenginevyo.

2. Hilo la pili, bora ninyamaze kwanza; ninawasubiri Wazanzibari na Watanganyika wakusikie juu ya kipengele hiki cha "kama one patner state is not satisfied na mwenendo wa any element in the Union, wana haki ya ku-pull back", kwani tayari wengi hawako satisfied na mienendo kadhaa ndani ya union.

3. Bila kujali unamwakilisha nani, baina ya mimi na wewe, ninakutakia kila la heri. Sio mimi wa kukuhukumu kwa dhamira yako bali utahukumiwa kwa matendo yako.
 
- Ilipokuwa @New York City; mlipiga kelele sana kwamba ni ulimbukeni, now this time sijasikia anything toka iwe @Dodoma City, au? ha! ha! ha! ha! ha!

William.
Mimi bado naona ni ulimbukeni tu tena wa kitoto ujanja wa Form two, vile vile nikukumbushe kuwa si kila mji unaitwa City, Dodoma sio City dude.

Halafu naona biashara yako imeisha mapema zile kura ulizokuwa unazitafuta kwa kupiga picha na Nassari zimeyeyuka.
 
- tuliza boli bro! ha! ha! ha! ha! life is too short sometimes relax japo kidogo mkuu wangu, easy does it! ha! ha! ha! ha1 ha!

William @Dodoma City!

ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! S.T.U.P.I.D
 
.......................................
 

Hapo kwenye red napata shida kidogo. Yaani uache ku-side na dingi wako magamba ujifanye ni product ya wanamageuzi... Hacheni hizo.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…