Ngaliba Dume
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 1,710
- 3,691
Ndugu zangu,Puma Energy kuna wakati ilitoa nafasi za kazi,ni kama miezi mitatu sasa..vipi kwa mwenye habari,hawa jamaa wameshaita interview?je miongoni mwa member humu anaweza kunambia nin chaendelea?naomba kupata information...Asante