Kuitwa kwenye usaili TFDA

Kuitwa kwenye usaili TFDA

naomba addres za hapa;
1.DAR ES SALAAM UNIVERSITY COLLEGE OF EDUCATION (DUCE) LECTURE
THEATRE C .
2.OFISI YA RAIS SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA
 
Mrejesho Muhimu wakuu, wale wazee wa kulalama mje mtuambie marks zenu. Sio kulalamika tu, ooh wameita wengi, mara utumish hawako fair,

Waiting....
 
baada ya hawa wanaofata ni wa TRA...hapo mtawajua vizur utumishi kwenye written zao hawatakagi ujinga....unakuta mtu paper yake ya maswali yaan introduction na conclution zipo sehem moja....mwingine kaandika jina tu...
 
Unafurahia au
 
Back
Top Bottom