MESHACK WARIOBA
JF-Expert Member
- Mar 29, 2017
- 1,068
- 1,174
TBS itakuwa cha mtoto zaidi, Ngoja za TRA hizo mkuu hapo ndo balaaBado tbs nao watakuja na rundo la watu
TBS itakuwa cha mtoto zaidi, Ngoja za TRA hizo mkuu hapo ndo balaaBado tbs nao watakuja na rundo la watu
Mkuu ni vizuri kuacha lawama ambazo mimi naziita 'Lawama zisizo na logic' ,labda nikuulize maswali machacheKwann uite watu 1257 kwa watu nafasi nne anagalia nauli za watu 1253 zitaungua bure wangeita watu angalau bc 24 inatosha kabisa.. Hapa Ratio ni 1:314
Kama wana qualify wanaitwaKwann uite watu 1257 kwa watu nafasi nne anagalia nauli za watu 1253 zitaungua bure wangeita watu angalau bc 24 inatosha kabisa.. Hapa Ratio ni 1:314
Wabongo aliyeturoga kafa. Asa unalalamika kuitwa watu interview. Wangechagua 20 mngeanza kuhoji wametumia vigezo gani. We komaa kapambane kama una uwezo utatoboa na watu wote haoKwann uite watu 1257 kwa watu nafasi nne anagalia nauli za watu 1253 zitaungua bure wangeita watu angalau bc 24 inatosha kabisa.. Hapa Ratio ni 1:314
Nahisi kuna uvivu flani wakati wa kuchuja applicants sio fair kushortlist hao wote,wenzetu wazungu wako makini sana post 1 huwa wanaita watu watatu tu wakizid sana basi watu 4!Kwann uite watu 1257 kwa watu nafasi nne anagalia nauli za watu 1253 zitaungua bure wangeita watu angalau bc 24 inatosha kabisa.. Hapa Ratio ni 1:314
Anyway wanasaidia watu pia kupata experience za interview,lakin si kwamba kushortlist watu wengi ndo kufanya fair unless wasiwe wamepanga sifa huwez sema watu wote hao wanalingana sifa au kigezo chao basi ukiwa na Degree na kuendelea ndo sifa maana kuna jamaa nimeona wana Masters tena za miaka kama miwili ilopita nao wamo!Unawachujaje watu wenye sifa zinazolingana kupata hao 20?
Unajua maana ya usaili wa mchujo?
Wangeita watu 20 bado mngelalamika wamependelea watoto wa wakubwa huku watoto wa wakulima mumeachwa, sasa mumepewa nafasi sawa ya kupambana bado mnalalamika, shida ni nini?
Tupunguze kulalamika ndugu zangu.
kabisa ni uvivu tu basi huwez sema watu wote hao ni wengi. yan watu watano maximum kwa post mojaNahisi kuna uvivu flani wakati wa kuchuja applicants sio fair kushortlist hao wote,wenzetu wazungu wako makini sana post 1 huwa wanaita watu watatu tu wakizid sana basi watu 4!
Nahisi kuna uvivu flani wakati wa kuchuja applicants sio fair kushortlist hao wote,wenzetu wazungu wako makini sana post 1 huwa wanaita watu watatu tu wakizid sana basi watu 4!
Anyway wanasaidia watu pia kupata experience za interview,lakin si kwamba kushortlist watu wengi ndo kufanya fair unless wasiwe wamepanga sifa huwez sema watu wote hao wanalingana sifa au kigezo chao basi ukiwa na Degree na kuendelea ndo sifa maana kuna jamaa nimeona wana Masters tena za miaka kama miwili ilopita nao wamo!
Kaka nilichogundua wabongo competition hawawezi kabisa, ndio maana wakishaona watu wengi, Uoga wa maisha unakuja hapo ndo tatizo linakuja.Unashauri wafanye nini mkuu ili wawe wanafanya fair, toa ushauri wako hapa ili wawe wanaita watu wachache kwenye usaili halafu kila mtu aridhike.
Wakiweka sifa ya uzoefu mnalia, wakitoa sifa ya uzoefu tena mnalalamika tatizo nini hasa?
Kaka nilichogundua wabongo competition hawawezi kabisa, ndio maana wakishaona watu wengi, Uoga wa maisha unakuja hapo ndo tatizo linakuja.
Ivi wanaelewa hao 1200+ wamekuwa shortlisted kutoka watu wangapi????? je kama total application lets say kulikuwa na watu 3000+ je kama wamepugunza mpaka 1200+ kuna shida gani? Wote hatufahamu backed processing ilikuwaje(total application selection criteria etc, sasa hakuna haja ya kulalama)
Acheni uoga, nendeni fanyeni usaili, muoneshe uwezo ndo kinachohitajika huko(Mi nasubiria zile marks za utumish ambazo huwa zinabandikwa ndo utajua hizi lawama ni za nini).
In short wadau tupunguze lawama, Mara wanachelewa kuita, oooh wanaita watu wengi, matatizo hayaishi?, Serikali imeshaanza kumwaga ajira, ombeni na mpunguze lawama wadauuu. Wangeshortlist 20 mngelalamika tu kwani hamnajema.Unawachujaje watu wenye sifa zinazolingana kupata hao 20?
Unajua maana ya usaili wa mchujo?
Wangeita watu 20 bado mngelalamika wamependelea watoto wa wakubwa huku watoto wa wakulima mumeachwa, sasa mumepewa nafasi sawa ya kupambana bado mnalalamika, shida ni nini?
Tupunguze kulalamika ndugu zangu.
Umesema vyema kabisa mkuu ...Unawachujaje watu wenye sifa zinazolingana kupata hao 20?
Unajua maana ya usaili wa mchujo?
Wangeita watu 20 bado mngelalamika wamependelea watoto wa wakubwa huku watoto wa wakulima mumeachwa, sasa mumepewa nafasi sawa ya kupambana bado mnalalamika, shida ni nini?
Tupunguze kulalamika ndugu zangu.
hahah n(E) umezipataje?Probability of an event not to occur is 0.99 or 99.9%
mkiachwa mnalia, mkiitwa wote maneno, ndo maana wamesema mtihani wa mchujo, nenda kapige pepa uchujweNahisi kuna uvivu flani wakati wa kuchuja applicants sio fair kushortlist hao wote,wenzetu wazungu wako makini sana post 1 huwa wanaita watu watatu tu wakizid sana basi watu 4!
hawa watu sijui wafanyiwe jema lipi ikifika oral wakiitwa wachache utasikia watt wa vigogo dah hii nchi inasikitisha sanaUnawachujaje watu wenye sifa zinazolingana kupata hao 20?
Unajua maana ya usaili wa mchujo?
Wangeita watu 20 bado mngelalamika wamependelea watoto wa wakubwa huku watoto wa wakulima mumeachwa, sasa mumepewa nafasi sawa ya kupambana bado mnalalamika, shida ni nini?
Tupunguze kulalamika ndugu zangu.
Wana ubia na kampuni za mabasiKwann uite watu 1257 kwa watu nafasi nne anagalia nauli za watu 1253 zitaungua bure wangeita watu angalau bc 24 inatosha kabisa.. Hapa Ratio ni 1:314

Point!!Kingine weka Akilini Utumishi hawangalii GPA, CISA, CISCO, CPA, CPB, CFA Kwenye kazi ambazo siyo za Kufundisha Vyuo