Kuitwa kwenye usaili TFDA

Kuitwa kwenye usaili TFDA

Bukijo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2010
Posts
208
Reaction score
71
Wandugu mlio omba TFDA mambo yamekwiva, mchuano mkali zaidi kwa wale mlioomba nafasi ya INFORMATION AND COMMUNICATION TECHNOLOGY OFFICER wameshortlist watu 1257 sikumbuki zilikua post ngap naomba wanamahesabu mtufanyie probability ya kila mtu kupata ikoje!
Kila lakheri nawatakieni interview njema!
 
Attachments

Kwann uite watu 1257 kwa watu nafasi nne anagalia nauli za watu 1253 zitaungua bure wangeita watu angalau bc 24 inatosha kabisa.. Hapa Ratio ni 1:314
 
Kwann uite watu 1257 kwa watu nafasi nne anagalia nauli za watu 1253 zitaungua bure wangeita watu angalau bc 24 inatosha kabisa.. Hapa Ratio ni 1:314

Wangeita wachache wenye probability ya kupata. Kwa nafas 4 wangeita watu 20 tu inatosha. Sasa hapa watu 1253 wanakwenda sumbuliwa for nothing.

Unawachujaje watu wenye sifa zinazolingana kupata hao 20?

Unajua maana ya usaili wa mchujo?

Wangeita watu 20 bado mngelalamika wamependelea watoto wa wakubwa huku watoto wa wakulima mumeachwa, sasa mumepewa nafasi sawa ya kupambana bado mnalalamika, shida ni nini?

Tupunguze kulalamika ndugu zangu.
 
Back
Top Bottom