Kuchakuro Ps
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 438
- 507
Aiseeee!!! Subiria Muujiza.Mimi mtu wa IT nliomba gaming inspector,paper imekuja maswali mawili ya IT,matatu ya accounts,moja la gaming unatakiwa ujibu ma5.Mtihani umeegemea kwa watu wa finance na accounts maana nao wameitwa.
Hahahaha muujiza au sioAi
Aiseeee!!! Subiria Muujiza.
Eeee, aisee!Hahahaha muujiza au sio
MUNGU atakusimamia asee unakumbuka swali hata moja la Accounts japo haina maana sana kwa sasa🤔Ai
Aiseeee!!! Subiria Muujiza.
Kuna la kuandaa bank reconciliation statementMUNGU atakusimamia asee unakumbuka swali hata moja la Accounts japo haina maana sana kwa sasa
Mimi mtu wa IT nliomba gaming inspector,paper imekuja maswali mawili ya IT,matatu ya accounts,moja la gaming unatakiwa ujibu ma5.Mtihani umeegemea kwa watu wa finance na accounts maana nao wameitwa.
Kwa kweli nikipita huo mchujo nitaamini kuna miujiza inatokea watu kwenye mitihaniAi
Aiseeee!!! Subiria Muujiza.
Kwa Watu Wa Account walikuwa wana nafasi nzuri basi.Kuna la kuandaa bank reconciliation statement
Kwa Watu Wa Account walikuwa wana nafasi nzuri basi.
Da
Daaah paper ilikuwa imekunjwa sana.... Ila wacha tungoje matokeo yatakuja vipi
Ni kweli ngoja tuone hilo tokeo litatoka vipiKumbe tulikuwa pamoja sio,tusubiri watoe matokeo.
Wasipike tu matokeo maana hizi interview ambazo hazisimamiwi na utumishi zinakuwaga magumashi sanaNi kweli ngoja tuone hilo tokeo litatoka vipi
Wasipike tu matokeo maana hizi interview ambazo hazisimamiwi na utumishi zinakuwaga magumashi sana
Hahaha
Mumeambiwa mtapewa lini matokeo?
Na. Mtapigiwa simu au kwa tovuti yao wataweka?
Wasipike tu matokeo maana hizi interview ambazo hazisimamiwi na utumishi zinakuwaga magumashi sana
Walisema ndani ya siku 14 yatakuwa kwenye website yao so nahisi ndani ya wiki ijayo itakuwa tayariHahaha
Mumeambiwa mtapewa lini matokeo?
Na. Mtapigiwa simu au kwa tovuti yao wataweka?
Acha tu,mambo si mamboMishahara serikalini magu hataki kupandisha anasema anasndelea kujenga uchumi
Ili mtu usizeeke masikin
Pambana na sekta binafsi
Maana uko serikalini HESLB waliopita ile asilimia 15 utakufa masikin