Kuitwa kwenye usaili gaming board of Tanzania

Ai
Mimi mtu wa IT nliomba gaming inspector,paper imekuja maswali mawili ya IT,matatu ya accounts,moja la gaming unatakiwa ujibu ma5.Mtihani umeegemea kwa watu wa finance na accounts maana nao wameitwa.
Aiseeee!!! Subiria Muujiza.
 
Da
Mimi mtu wa IT nliomba gaming inspector,paper imekuja maswali mawili ya IT,matatu ya accounts,moja la gaming unatakiwa ujibu ma5.Mtihani umeegemea kwa watu wa finance na accounts maana nao wameitwa.

Daaah paper ilikuwa imekunjwa sana.... Ila wacha tungoje matokeo yatakuja vipi
 
S
Wasipike tu matokeo maana hizi interview ambazo hazisimamiwi na utumishi zinakuwaga magumashi sana

Sana aisee hizi interview nyingine wanawafanyishia interview kutimiza formality halafu wanaweka watu wao
 
Mishahara serikalini magu hataki kupandisha anasema anasndelea kujenga uchumi
Ili mtu usizeeke masikin
Pambana na sekta binafsi
Maana uko serikalini HESLB waliopita ile asilimia 15 utakufa masikin
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom