Wazee vp paper huko duce? Research ilihusika?
AseeNdio kama kawaida. Procedure used for probability sampling
All the best ndugu
Mh hatari tena hatari kubwa watu tulidhan 1M750k
Mh hatari tena hatari kubwa watu tulidhan 1M
Mh hatari tena hatari kubwa watu tulidhan 1M
Ndio kama kawaida. Procedure used for probability sampling
Nmeskia na types za questionnaires eti au
Kwa licensing imetoka hio types nmeenda op,pepa ya licensing ilikazwa sana
Naomben msaada me ndo pepa yangu ya1 utumish hvi dk40 maswal5 unamalizaje?? Afu wanataka uexplain no fair
Afu unapewa ream1 tu
Umemaliza kila kitu boss.Kuhusu ream baba unomba unapewa, kama niile ya kujisavia hata wakisema moja moja chukua 3, kuhusu muda na maswali elezea maximum mistari 2, ni dhambi kuacha swali katika pepa za utumishi,muda haujawahi kutosha katika mtihani wowote pale, make sure unakua na speed, briefly na accuracy bhaaaaaas
Kaka tujuze bas kama majibu wameshatoa maana walisema leo jioni.Umemaliza kila kitu boss.
bado vuta subira utapata majibuKaka tujuze bas kama majibu wameshatoa maana walisema leo jioni.