Kuitwa kwenye interview TRA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuitwa kwenye interview TRA

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by backer, Nov 5, 2011.

 1. b

  backer Member

  #1
  Nov 5, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu wanajamii, jana nimeona hawa watu wa tra wakisema katika moja wa vyombo vya habari hapa nchini, kuwa wanatarajia kuajili watu kwa ajili ya makusanyo ya kodi za ndani! Swali ni je!? Zile nafasi walizotangaza mwezi wa saba walishaita watu walioziomba! Kama kuna mwenye habari hizo tufahamishane
   
 2. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #2
  Nov 5, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,142
  Trophy Points: 280
  kuajili = kuajiri
   
 3. b

  backer Member

  #3
  Nov 7, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  lakin si umeelewa? Au na ww ndo wale wale mnaoangalia makosa ya thread za watu badala ya kutoa majibu/taarifa kwa unavyofahamu!? Mtu akikuuliza swali as long as umeelewa jibu, hatupo hapa kuangalia semantics,syntax wala structure.
   
 4. only83

  only83 JF-Expert Member

  #4
  Nov 7, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Watoto wako na mume wako wanajua ujinga unaofanya humu JF....?
   
 5. mtoto wa mfugaj

  mtoto wa mfugaj Senior Member

  #5
  Nov 7, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 136
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wakipindi hicho wameshaajiriwa wako kazini(walioitwa mwezi wa 7).apply kama unavigezo utapata nafasi.pamoja tunajenga taifa.
   
 6. F

  Fast Moving New Member

  #6
  Nov 8, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sallam kwa member wote; mimi ni mpya katika jamii forum;
  Nataka kujua wanataka watu wenye sifa zipi?
   
 7. M

  Mario Gomez JF-Expert Member

  #7
  Nov 8, 2011
  Joined: Nov 1, 2011
  Messages: 472
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  Tembelea website ya TRA utapata kila kitu kwenye website yao.
   
Loading...