Kuitwa kwenye interview bila kuwekewa adress ya kampuni

Kuitwa kwenye interview bila kuwekewa adress ya kampuni

nyambogo

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2012
Posts
283
Reaction score
111
"Am here informing you that there will be an interview on 27th may at head officeKijitonyama second floor at 16.00 you have to come with your Cv,One Coloured Passport Size.

The interview will take 5 to 7 days, so if you are coming from other regions you have to prepare yourself for those days.THE BANK WILL NOT COVER EXPENSES INCURRED BY INTERVIEWEE."


Waungwana nimetumiwa meseji then haina namba ila imekuja NYNM BRANCH na mbaya zaidi hawajasema hata jengo, kama kuna mdau ametumiwa mwingine au muhusika, tusaidizane jamani.

Nawasilisha ndugu zangu.
 
waulize waliotuma SMS .lakini pia jiulize kuna mahali popote uliomba kazi
 
Back
Top Bottom