kuitwa kwa usail dom

kuitwa kwa usail dom

Nickson Mjuni

Member
Joined
Jul 10, 2016
Posts
47
Reaction score
26
Wazee kwema???? kuna aliyetumiwa ujumbe kuhusu kuitwa kwa usaili dom tanesco km yupe ajeah pm ili tusepe wote j2 ili j3 tukisanue VETA dom asubuh na mapema
 
Vp mkuu hao jama interview zao ni siku ngapi? Namaanisha tunapiga written alafu tunarud nyumban kusubir kuitwa au tunaunganisha na oral
 
Sijakuelewa wamaanisha nini ..Dom tanesco na VETA Dom...?
Kuwaelewa vijana wa kileo inahitaji moyo. Ndio maana wengi hawapati kazi....wanadhani wasaili wanakuwa wanaelewa lugha zao kumbe wanakuwa hawawaelewi mkuu.....hatarii sana hii
 
sema uwezo wako wa kuelewa ndio mdogo sio vijana wa kileo, lazima ujue ni aina gani ya maneno pakuongea na kwa wakati gani tusichukuliane pouwah we sema wapi hujaelewa tukueleweshe.
 
Wazee kwema???? kuna aliyetumiwa ujumbe kuhusu kuitwa kwa usaili dom tanesco km yupe ajeah pm ili tusepe wote j2 ili j3 tukisanue VETA dom asubuh na mapema
Umepigiwa simu? Wamekwambia itakua Written? Au Oral?
 
sema uwezo wako wa kuelewa ndio mdogo sio vijana wa kileo, lazima ujue ni aina gani ya maneno pakuongea na kwa wakati gani tusichukuliane pouwah we sema wapi hujaelewa tukueleweshe.
Sihitaji hata kuelewa...lugha ya picha ilishanionyesha huyu mtu ni wa aina gani!!!... Asante sana
 
Back
Top Bottom