Kama wewe ni mtoto wa kiume unahitaji kubadilikaa..!!Kabla hujafika polisi jifunze kuandika kwa ufasaha
Ukiandika polisi maelezo kama unavoandika hapa utafia jela bila kosa
Hivi watu ambao itatakiwa wamdhamini si lazima wawe watumishi wa umma au hata mtu yeyote??1. Nenda na watu angalau wawili. If possible wawe na barua za kukudhamini.
2. Simu iwe na vocha. Mitandao yote angalau dakika 50.
3. Uwe na angalau laki 1 au 2 cash.
4. Kama una rafiki au jamaa mwanasheria nenda nae.
Ni plesha ya witoMwandiko mmbovu Sana !!!!
Siku zote siokei simu nisiyoijua. Kama mtu simjui ataniambia Nini?