keepthefaithalive
Member
- Aug 4, 2014
- 44
- 15
Habarini wanajamvi...Kwa wale waliofanya usaili na TRA kwa nafasi za ACO,ATO,APO na PA mwezi wa 12 habari kutoka chanzo cha kuaminika (Reliable Source) kutoka MAPATO HOUSE makao makuu TRA ni kwamba wiki hii wakati wowote kuanzia Jumatatu hadi Ijumaa wataita watu waliofanikiwa kupata kazi,so msikae mbali na simu zenu wadau!
Nawatakia kila la kheri tukutane pale ITA Institute of Tax Adminstration (chuo cha kodi) mikocheni kwa ajili ya training!
NAWASILISHA!!
Kwa hiyo kabla hatujajua kama tumepata au la we tayari ushapata?,daaaaah!!!!!!!!,hii inji hiiiiii!!!!!!!,no sweat tutafika tu
Hapana mkuu sijui kama nimepata au vipi!Ni kujipa matumaini tu,ni vizuri kuwa na hope!!
Duu kWeli mAdOgo mmEpanIa hiYo tRa. mngeJua cHallEngeS za MamlakA saiv MngeKuwa MnaombA muNgU awApe nguvu eNdapo mTafanikiwa kuPata.
You are making noise with your handwritingDuu kWeli mAdOgo mmEpanIa hiYo tRa. mngeJua cHallEngeS za MamlakA saiv MngeKuwa MnaombA muNgU awApe nguvu eNdapo mTafanikiwa kuPata.
Labda kuanzia kesho mpaka sasa hawajapiga namini Mungu ni mwema atatupa kaziHabarini wanajamvi...Kwa wale waliofanya usaili na TRA kwa nafasi za ACO,ATO,APO na PA mwezi wa 12 habari kutoka chanzo cha kuaminika (Reliable Source) kutoka MAPATO HOUSE makao makuu TRA ni kwamba wiki hii wakati wowote kuanzia Jumatatu hadi Ijumaa wataita watu waliofanikiwa kupata kazi,so msikae mbali na simu zenu wadau!
Nawatakia kila la kheri tukutane pale ITA Institute of Tax Adminstration (chuo cha kodi) mikocheni kwa ajili ya training!
NAWASILISHA!!
Tuliza boli wacha mchecheto...leo alhamis mbona wiki bado mbichi kabisa hii...we kaa na simu yako tu pembeni!Habari Wanajamvi vp mbona kimya hiyo inakatika wiki.