mmmhhhhhhhhhhhhhhhhhhh!!!!!!!!!!!!!!!!! Mgumu kumezawewe uliapply kwa jina gani nikuchekshie?
Wameshaitwa.Walipgiwa cmu kuanzia ijumaa ilopita,jumamos had jumapili ikawa mwisho wa kuitwa.Jumatatu ya tarehe 16 mwez huu wote walioitwa wakaenda kuchukua barua zao za ajira
ambazo znawataarifu kuwa tarehe 2/5/2012 wawe wamekwenda kwenye vituo vyao walivopangiwa kuanza kaz.Ila kuna taarifa kuwa michakato ya "kupenyezana" bdo ipo kwa zile fall vacancies. if una "MJI-MEMO "uloshba vizur kama tumbo la wasira then utupie upigiwe mchakato dogo apate kaz.Nawasilisha
Hi all? nimekuja kufanya mabadiliko kwenye hili. Nimebanwa sana na kazi za hapa na pale kutafuta kipato cha kuniwezesha kujikimu kwa kuwa ajira kwa vijna hapa Tz ni nipe nikupe. Wanao heri wale wenye wajomba, mashangazi, baba wakubwa na wadogo na hali kadhalika wazazi au kaka na dada, waliotangulia kwenye nafasi kubwa za ajira, hawa ndo wanachuma mema ya nchi. Siye watoto wa mkulima turudi vijijini tukasaidiane na wazazi wetu tulime. Haya ya NSSF yameumiza wengi. Huwezi kuwaita watu kwenye usaili, gharama na muda wa watu usijali angali majina ya watakaoajiriwa yapo. Inauma vijana wenzangu, tusikate tamaa, tuendelee kutoa elimu kwa jamii inayotuzunguka juu ya umuhimu wa kuchagua viongozi bora na siyo bora kiongozi, kwa hayo tutashinda.Wameshaitwa.Walipgiwa cmu kuanzia ijumaa ilopita,jumamos had jumapili ikawa mwisho wa kuitwa.Jumatatu ya tarehe 16 mwez huu wote walioitwa wakaenda kuchukua barua zao za ajira ambazo znawataarifu kuwa tarehe 2/5/2012 wawe wamekwenda kwenye vituo vyao walivopangiwa kuanza kaz.Ila kuna taarifa kuwa michakato ya "kupenyezana" bdo ipo kwa zile fall vacancies. if una "MJI-MEMO "uloshba vizur kama tumbo la wasira then utupie upigiwe mchakato dogo apate kaz.Nawasilisha
Hakika tanzania imevaaa kaptula ,watu wema kwa sasa hawapo na waliopo hawana alama.Ajira zimekuwa zina udini,ukabila,na gender.nilipo ambiwa Nssf kuna udini niligoma ila kwa watu wote ambao wameitwa ninao wajua nimeshika hatamu.mungu wetu ni mwema na ridhiki popote kwa mapenzi yake mola atafanya wepesi ili kuweza kutupa kazi zilizo bora na kukidhi mahitaji aluta continua,viva Tanzania
Habari za leo! Natafuta kazi. Nimemaliza chuo mwaka jana pale IFM. Nina digree ya General Admin. Tax. Popote pale nipo tayar kufanya kazi. Cm yangu. 0714430966