Kuitwa Interview Viettel

Kuitwa Interview Viettel

Alie eneo la tukio tuonane tujuane kidgo
 
Nmetoka kwenye huo mtihan...lkn nmeumia kuona wasmamizi wakisaidia baadhi ya watu majibu...hahaaa nmeamini ht interview watu hupewa majibu..anyway miafrika ndivyo tulivyo,weusi wa ngoz mpk akili
 
Nmetoka kwenye huo mtihan...lkn nmeumia kuona wasmamizi wakisaidia baadhi ya watu majibu...hahaaa nmeamini ht interview watu hupewa majibu..anyway miafrika ndivyo tulivyo,weusi wa ngoz mpk akili

Inbox ur numbr
 
Hawa jamaa jana walikuja home maeneo ya science walikuwa wanaulizia site kwa ajil ya kuweka mnara wao wa simu so nadhani wapo really....
ila hawajui kingereza hata zaid dereva wao ndio mkariman wao...
 
ofisi zao ziko wapi? naomba maelekezo plz
 
Sista tupia email yako ntakutumia form yao ujaze...offc haitakusaidia chochote
 
Wadau ntawatumia hzo form kesho,nmekua tyt sana ck mbil tatu hz...tupo pmj
 
Mimi wameniita kwenye oral interview leo saa kumi jion ofisin kwao kinondoni na nipo mkoani, sijui mnanishauri vipi maana txt wamenitumia late.
 
Mimi wameniita kwenye oral interview leo saa kumi jion ofisin kwao kinondoni na nipo mkoani, sijui mnanishauri vipi maana txt wamenitumia late.

Check then wana weza ku weka tareh mpya
 
Back
Top Bottom