Kuitwa Interview Viettel

Kuitwa Interview Viettel

Wa vet wamekuja Bongo kutoa ajira?! Hapa hakuna usanii kweli? Haya ngoja tuone.
 
daaa! Hiyo lugha imenifanya nimesubmit empty ktk iq test. Si muchezo wanajf

tena ni mdada,mhudumu aliyenambia niclick. Wajomba muwe makini na hao wahudumu, cjui nao hawajui ama wancheza mchezo mchafu wa kupunguza watu
 
mkuu naomba unijuze namba wanayotumia kuwapigia watu maana kuna missed call +25522****200 niliipata jana
 
Umejisahisha mwenyewe nini?? lazima ukae

Kwa aliefanya ile interview nadhani anafahamu jinsi gani majibu yalivyokua yanapatikana,ule mtihani ulikua na sehemu tatu,kila unapomaliza kufanya sehemu moja ukisev majibu ya hiyo sehemu uliyofanya unayapata on the spot,ila bado hatujui kwamba wenyewe wanataka upate wastani wa ngapi mana ukimaliza kufanya maswali yote wanakuonyesha marks zako then unaambiwa utapigiwa simu.
 
Last edited by a moderator:

mkuu mie ndo naelekea. Bt vp maswali hayo ya iq yanaeleweka? maana kila mmoja anayalalamikia
 
mkuu mie ndo naelekea. Bt vp maswali hayo ya iq yanaeleweka? maana kila mmoja anayalalamikia

Maswali ya IQ kaka yametawaliwa na michoro nj hesabu za kufikirika,chamsingi ukifika tuliza akili kisha fanya maswali.
 
Mi niliapply kwa address ya egotel kipindi kile vp nyie mli-apply kwa tangazo lipi? Maana nimeona kimya nikajua kampuni magumashi
 
Back
Top Bottom