Habar zenu.
Nimetumiwa msg na inanitaka nikafanye interview Tigo siku ya Jumamosi trh 1/3, Nami niko mkoani.
Vipi hawa watu sio wababaishaji mana nisije nikapoteza nauli yangu.
Ushauri pls

Mshahara 150,000 kazi masaa 4
Mshahara 270,000 kazi masaa 8
In this world nothing is certain than Tax and Death.
Kwa hiyo kazi hata usiende nakushauri bora ingekua kazi ya maana