Habari wandugu,
Mm nimeitwa kwenye aptitude test BOT katika post ya Business analysts. Naomba wale wenye uzoefu na hizi test wanipe angalizo zinakuaje ili niweze kujiandaa kikamilifu. Asanteni Mungu awabariki
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.