Kuitambua tecno p3 original.

Kuitambua tecno p3 original.

Mkumbizi

Senior Member
Joined
Dec 31, 2013
Posts
171
Reaction score
26
Naomba mnisaidie ndugu mamna ya kuitambua simu original TCNO P3.
 
ukitaka kujua tecno original na betri pia,ingia ktk mtandao huu then utatakiwa kuingiza imei ya simu yako ya tecno.( http://gc.tecno-
mobile.com )
 
Sasa techno yenyewe tayari ni feki.. sasa cjui unaulizia original ipi hiyo..?
 
Tatizo la mtoa mada anataka Tecno iliyo kama Samng Galaxy Original. Tecno ni tecno tu, haina orginal wala feki, ukiona unamashaka nayo au inasuasua basi hiyo ndiyo tecno, haiwezi fanya kazi k
 
  • Thanks
Reactions: amu
Fake manaake copy ya orignal .inamaana kama kuna watu wametengeneza copy ya techno bas hiyo itakua ni fake techno .hivyo techno fake zipo...
 
Fake manaake copy ya orignal .inamaana kama kuna watu wametengeneza copy ya techno bas hiyo itakua ni fake techno .hivyo techno fake zipo...

waambie hao walio zoea kukalili kwamba kila mchina ni "fake" !!!
 
Fake manaake copy ya orignal .inamaana kama kuna watu wametengeneza copy ya techno bas hiyo itakua ni fake techno .hivyo techno fake zipo...

acha kukalili,nani alikuambia michina haina "orginal" na "fake"?

waambie hao walio zoea kukalili kwamba kila mchina ni "fake" !!!

Tecno wanacopy simu zingine ndio maana nayo ni fake. Simu original ni kama HTC ambayo nayo inatoka china (Taiwan) na Xiaomi ...
 
Tecno ni feki ya simu zingine. Ni sawa tu aseme anataka galaxy s4 clone original

.
Kwann useme hivi?
.
Kwa mfano mimi nikitengeneza simu alafu nikaiita C++ smartphone ......
Itakuwa ni original
.
Ila nikitengeneza simu then nikaiita NOKIA hiyo itakuwa ni fake bwana joe
.
 
.
Kwann useme hivi?
.
Kwa mfano mimi nikitengeneza simu alafu nikaiita C++ smartphone ......
Itakuwa ni original
.
Ila nikitengeneza simu then nikaiita NOKIA hiyo itakuwa ni fake bwana joe
.

ukiita c++ ila ikafanana na nokia in any way (hardware au software) kwa lengo la kumpumbaza mnunuaji ujue iyo ni feki

hata kitu kikiwa sub standard nacho ni feki. we hujiulizi kwanini tecno yenye specs kubwa ambazo ni equivalent na simu nyingine kama samsung au zingine ila utaona bei yake ni ya chini mnoooo kulinganisha na wengine. wao wanapata wapi malighafi?

uwa husikii apple wamesue samsung kwa kuiga design, na kesi kama izo. tecno hawana hata kiwanda cha simu.
 
Back
Top Bottom