Mimi naona suala la msingi ni kumuoa mtu ambaye unamfahamu vizuri, unapofunga ndoa na mtu ni kwamba unajicommit to spend the rest of your life with him/her, sasa why take a chance? Wapenzi wengi wana make efforts sana kwenye stage ya uchumba, kama una mpenzi mnakutana weekend tu ujue hata kama ana kasumba ya uchafu atafanya usafi ndani kwake, atapika chakula kizuri na kuvaa vizuri, kama ni mlevi mbwa hatakunywa kabisa au atakunywa kidogo du- yote haya kwa kuwa anajua ana 'appointment' na wewe na anataka aku impress, ukitoa mguu tu anarudi kwenye utaratibu wake! Lakini kama mtaishi pamoja kabla ya ndoa utapata mwanya wa kujua tabia zake zote kwani tabia hazifichiki, kaa naye nyumba moja kwa wiki tu utaona true colours!
Wenzetu wazungu hii kitu ya ku 'move in, ni muhimu sana, wapenzi wapya wakikutana, kabla ya kuongela ndoa wataongelea suala la kuishi pamoja, they always want to see if it will work, if they will get on together on a 24/4 basis. Tuachane na mambo ya kizamani, kama unataka kuoa its crucial ujue kuwa you are making the right choice. Mimi binafsi was very lucky, kwa kuwa the woman I married was initially my friend, a long time friend, we never thought we could end up husband and wife, jinsi urafiki wetu ulivyoendelea tuligundua kuwa we had a lot in common, na niliweza kugundua kuwa she was different from other women. She was very open to me and so was I kwa kuwa hatukuwa wapenzi so hadi urafiki wetu ulipogeuka kuwa upenzi, both of us knew what to expect from each other. So kama inawezekana nashauri relationship ianze kama urafiki then mambo mengine yataendelea baadae.