Kuishi pamoja kabla ya ndoa

dada Joy maisha haya kabla ya ndoa ni mazuri sana tena mno mnaweza ishi hata miaka 45 then mnafunga ndoa

Haya ndo yale ya mtoto kula harusi ya mama,yaani mtoto wako anakula mnuso wa ndoa yako tena ya kwanza,no mkwe kwa staili hii mwanangu umemkosa
 
Mimi naona suala la msingi ni kumuoa mtu ambaye unamfahamu vizuri, unapofunga ndoa na mtu ni kwamba unajicommit to spend the rest of your life with him/her, sasa why take a chance? Wapenzi wengi wana make efforts sana kwenye stage ya uchumba, kama una mpenzi mnakutana weekend tu ujue hata kama ana kasumba ya uchafu atafanya usafi ndani kwake, atapika chakula kizuri na kuvaa vizuri, kama ni mlevi mbwa hatakunywa kabisa au atakunywa kidogo du- yote haya kwa kuwa anajua ana 'appointment' na wewe na anataka aku impress, ukitoa mguu tu anarudi kwenye utaratibu wake! Lakini kama mtaishi pamoja kabla ya ndoa utapata mwanya wa kujua tabia zake zote kwani tabia hazifichiki, kaa naye nyumba moja kwa wiki tu utaona true colours!
Wenzetu wazungu hii kitu ya ku 'move in, ni muhimu sana, wapenzi wapya wakikutana, kabla ya kuongela ndoa wataongelea suala la kuishi pamoja, they always want to see if it will work, if they will get on together on a 24/4 basis. Tuachane na mambo ya kizamani, kama unataka kuoa its crucial ujue kuwa you are making the right choice. Mimi binafsi was very lucky, kwa kuwa the woman I married was initially my friend, a long time friend, we never thought we could end up husband and wife, jinsi urafiki wetu ulivyoendelea tuligundua kuwa we had a lot in common, na niliweza kugundua kuwa she was different from other women. She was very open to me and so was I kwa kuwa hatukuwa wapenzi so hadi urafiki wetu ulipogeuka kuwa upenzi, both of us knew what to expect from each other. So kama inawezekana nashauri relationship ianze kama urafiki then mambo mengine yataendelea baadae.
 
Maisha ya NDOA ni matamu, ila siyo ya kuyakimbilia. Ingia kama unajiona uko tayari kuishi na mwenza, na kuna kujiandaa kwa aina nyingi tu. Hakikisha unampata yule ambae mtaelewana, ni muhimu kujuana vizuri kabla hamjarush into marriage. Hamna kitu important kama MAELEWANO katika ndoa. kwa sababu wote mnatoka katika background tofauti, so sio rahisi kuishi pamoja kama hamna maelewano.

Kitu ninachofurahia katika ndoa kuongezea yote yaliyosemwa hapa ni kuondokana na "UPWEKE". Jamani inafika stage katika maisha, okay uko Independent unaishi peke yako and you have evrything....then mara you long for a company, whether someone to share what you have been into throughout the day, or just a shoulder to cry on. Sasa ikifika moment hii, unaweza sema let me call Mum, lakini unakuta Mama yuko busy na mme wake. Au best friend also ambae uko benet sana unakuta nae yuko busy and there is one around...mwishowe unabaki na upweke wako.
Lakini Mume/mke popote alipo, whether yuko home au safarini, its a person ambae yuko available at all times...and this is really soothing, kujua tu nina WANGU..at any time or at any circumstances yuko karibu to be there with u....


Kwa hiyo ambao bado kuingia msitishike na maisha ya NDOA, ni ukweli hayana formula. Bali NDOA ni wewe na mwenzi wako vile mtakavyokubaliana maisha yenu yawe ndio MSINGI bora....Hakikisha unapata mtakayeweza kuishi pamoja..tusiangalie tu uzuri wa sura. Ukishavutiwa na nje anza kuangalia na what is inside the heart. Huwezi pata ambae ni 100%, but unaweza pata ambae mnaelewana, mtaheshimiana, mtapendana na mtaishia kuishi vizuri.
Ofcourse arguments za hapa na pale huwa zinatokea, lakini hizi ndizo hudumisha ndoa kwa sababu ina maana ndo mnazidi kujuana vizuri...na kujaribu kuzuia such arguments zisitokee tena in the nearby future and life goes on.
 
jE, Wewe ni mmoja wa wale wenye kuamini kuwa:
"If you can get free milk, why KEEP a cow?!"


ha ha ha umenichekesha umenikumbusha Mama Rwakatare anaupenda sana huu usemi wakati anafundisha vijana mambo ya ndoa,
anaogopa matunzo ya ng'ombe majani, maji, pumba dawa akiumwa. full gharama
 
ha ha ha umenichekesha umenikumbusha Mama Rwakatare anaupenda sana huu usemi wakati anafundisha vijana mambo ya ndoa, anaogopa matunzo ya ng'ombe majani, maji, pumba dawa akiumwa. full gharama

Huyo mama ana ndoa?
 
Hizi thread za maswala ya ndoa zinakuwa nyingi, mnanifanya nianze kuogopa sasa maana mie nikifikiria ndoa mwili unanisisimka.

Swala la kuishi pamoja kabla ya ndoa lina mazuri na mabaya yake kwa upande mmoja litakupa mwanga zaidi kuhusu mpenzi wako upande wa pili hukawii kuchange mind.
Kuna jamaa mmoja hapa ni mmoja wa wale waliofunga ndoa wote wakitokea makwao hawakuwahi kuishi pamoja kabla ya ndoa, sasa kumbe jamaa akilala anakoroma yule mama amegoma kabisa kulala naye chumba kimoja. Kila mtu analala chumba chake.
 
Hii kukaa pamoja kusomana tabia, inatakiwa mkae masiku mangapi hasa.

Maana nina jamaa yangu, nina maanisha rafiki yeye ni mzungu, anaishi na gero frendi wake mwaka wa tano sasa na wana watoto wawili tayari mmoja miaka mitatu.

Ukiwauliza kina mmoja anakupa sababu zake za kuchelewesha ndoa... mara ooh we still need more time to know each other...! Sasa jamani 5yrs bado unasaka tu, ujapata cha kukufurahisha ndani ya mahusiano hayo?

Hao wazee wetu wa Kiafrika, walioa na kuolewa bila ya kufahamiana au kujuana (Kinyumba), walichokuwa wanafanya Baba na Mama zao (Wazee wao) ni kuwaozesha kwenye familia zilizokuwa na uhusiano nao wa karibu. Yaani kwenye koo wanazo zifahamu kuwa watoto wao wana tabia nzuri, basi. Na M'Mungu amewabariki mpaka wanajukuu na kina siye tunajidai kutokana na ndoa za Babu na Bibi zetu... Utawasikia vijana wakijigamba mitaani... "Mie Babu na Bibi yangu mpaka leo bdo wapo pamoja na wanapendana kama wameoana leo..."

Hizi tabia za kimagharibi, tunazikumbatia na kuwacha tamaduni zetu... Tamaduni ambazo tunapaswa kwa njia mja ama nyingine kuziuhisha. Na kwa kweli zitatuepusha na matatizo mengi sana ya kijamii.

Na wale wakina siye wenye imani zetu (Islam and Christian), Hiizi tabia za kukaa na mtu ambaye si mwanandoa mwezako, zinatuletea matatizo sana, katika familia zetu. Nawafahamu baadhi ya watu ambao wametengwa kwenye ibada na kukosa baadhi ya huduma muhimu katika imani zao. Yote hii kukaa kwanza ili mjuane... na huku mnaendeleza ngono kwenye mahusiano yenu. Matokeo yake miaka inakatika na watoto hao tisa, kinacho bakia sasa ni kwenda kubariki ndoa tu... Na mpiga picha mwanenu mliye mzaa kipindi cha kuangaliana tabia.
 
Hiyo inaitwa heat and run! utachunguza wangapi ndo nakumbuka usemi usemao Why keeping a cow while you have assuarance of having milk every day? Huwezi kufuga ng'ombe wakati unauhakika wa kupata maziwa kila uyatakapo tena sometimes bila gharama yoyote ukizingatia life la bong no nyasi no what! cha mno ni kumwomba Mungu akupe mke mwema au mume mwema kama unaamini yote hupangwa naye. Ndoa muhimu utazini hadi lini?
 
kWA WALE AMBAO WANAKUBALIKA KUISHI PAMOJA NA KUZAA BILA YA KUOWANA NAHISI HAKUNA HAJA YA KUFANYA NDOWA, LAKINI KWA WENGINE AMBAO HAIRUHUSIKI KUISHI KAMA MUME NA MKE INAKUBIDI MTU UFANYE MAMUZI KWANI UMRI UKISHA KUPITA KUNA MATATIZO MENGI HUJITOKEZA.
 
kuishi pamoja kabla ya ndoa ni kitu zuri mno kwani ndio inasaidia kujenga ndoa zaidi.mambo ya kuanza kuishi na mpenzi wako baada kuona ndio mnajikuta kuna mambo mengine hamkuyajua kabla na kujikuta mnaanza kuonana kama kero.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom