Kuishi ni kujifunza

Kuishi ni kujifunza

Ulitafutiwa huyu mke ama ulimpandisha cheo kutoka u maid nyumbani hadi kuwa mke?
 
jeuri hiyo hana ni maneno ya maudhi tu yanayo pelekea hata wazo la mchezo likae mbali

pole sana mkuu , mimi hapa dushe haijadinda mwezi sasa , kisa kupoteza hamu ya kugegeda mapapuchi hayo baada ya

kupata mawazo fulani fulani kumuhusu huyu mama ngina wangu..........
 
Mimi Mwezi wa 3 sasa na kanyumba ndogo ilianza kuzingua nikamtafutia mwenzie sahv naulizwa umeoga,umekulaa,naitwa beby .kaka tembea muache na kisiranichake utaniambia.

Ushauri gani sasa huu??Epuka michepuko,kaa njia kuu

Unafikiri ndoa ni adventure? zipo changamoto nyingi na suluhisho sio nyumba ndogo,kaa uongee na mama ngina atakuelewa tuu.
 
Ongea na mkeo sio kuja kutuambia huku.

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Back
Top Bottom