Kuishi na mwanaume bila ndoa

Maisha hayana formula, kuna walioishi pamoja ndoa ikaja baadae, ila nakupa angalizo ukikubali kuishi naye jitahidi uzae. Tofauti na hapo utajikuta unapoteza muda wako bure.
 
WANAWAKE WANAOMVUNJA MOYO HUYU DADA HAWAJAPATA HIZO NAFASI NDIO MAANA WANAMKATISHA TAMAA
 
mimi Nina ndugu Lakin mtu wa karibu niliekua na mtrust katangulia mbele ya haki na si kila mtu anatakiwa kukupa ushauri

Sent from my SM-A800F using JamiiForums mobile app
 
Kama mama yako na baba yako waliishi kwenye ndoa na wewe ukazaliwa kwenye ndoa , na yeye wazazi wake kama walifunga ndoa iweje yeye akatae? Hivi wanaume wanaogopa nn ndoa?

Usikubali kusogezwa. Hujui ya kesho.

Mmh bila ndoa ? nimzuie mama yangu sacrament?? Hapana kabisa

Nyie viumbe kanisani mnaogopa nini?

Mungu nae ana mengi unakutana na mtu hata kanisani mwisho akumbuki alisali lini? Hawazi watoto watakuwa ktk maadali gani?

Hakuna kinachoshindikana kwa mungu saliii mungu ndo mwenye uwezo wa kumbadilisha mtu.
 
Daah, usingesema boyfriend wako ungesema mzinzi mwenzio tu

Makandila
 
sahau kupata mpenzi serious

Sent from my HUAWEI P7-L10 using JamiiForums mobile app
 
nia ni kuwachunguza zaidi ili pindi baada ya harusi kila mmoja awe amekubali mapungufu ya mwenzi wake.
 
Nivizur kushi kwanza kabla ya ndoa ili kusomana tabia then ndoa badae
 
mimi Nina ndugu Lakin mtu wa karibu niliekua na mtrust katangulia mbele ya haki na si kila mtu anatakiwa kukupa ushauri

Sent from my SM-A800F using JamiiForums mobile app

Sawa kama huko Nyumbani unakotaka Aje Kujitambulisha nako Upo Pekee yako Basi Sawa Ila kuna vitu Vingine kama Mke anayejua kuwa utakuja kuwa na Familia yako kuna Vitu unapashwa kuomba Ushauri na Kuna Vitu Hupashwi kuomba Ushauri.

Mfano Umemwambia kuwa aje Kwenu Amekataa, Bado Unaamini Kuna Mtu Humu Ndani atakupa Mbinu yakumbadirisha Juu ya Katazo Lake? Kama Hili Dogo tu Unashindwa Kulidadavua Mpaka unataka watu wakusaidie majibu na Uamzi Je siku Mtoto Akizaliwa si Ndiyo Utauliza hivi Mtoto Akiwa ananyoinya anavutaje Chuchu??

Tutumie Elimu Zetu Kutupanuwa na Kujua Majukumu Yetu baada ya kuacha Majukumu ya Usichana na Kuwa Mwanamke au Kuacha Uvulana na Kuwa Mwanamume.
 
Kuna Tofauti Kati ya Mvulana na Mwanaume
Kuna Tofauti kati ya Msichana na Mwanamke.

Wewe Bado ni Msichana bado Hujafika kuwa na akili za Mwanamke. Samahani
 
Inawezekana mleta mada ametoa taarifa nusunusu. Kwa imani na upeo wangu ninajua lazima kuna sababu kubwa ya kukuomba kuishi nawe ambayo moja wapo yawezekana kutokuwa vizuri kifedha na kimaisha kwa sasa kwa uwezo wa kufunga ndoa. Lakini kama kweli umeona nia yake kwa muda wote mliokuwa kwenye mahusiano yenu basi wewe nenda tu. By the way, mnamuda gani kwenye mahusiano yenu??
 
We kaa hapo hapo njia panda, ukija kutahamaki wenzako wana watoto wako darasa la pili.

Hivi kwa nini mnapenda tuwaoe regardless ya ubutu wenu linapokuja suala la 'kuwa MKE'?
 
Nivizur kushi kwanza kabla ya ndoa ili kusomana tabia then ndoa badae
tabia zip na tupo kwenye mahusiano

Sent from my SM-A800F using JamiiForums mobile app
 
Another Immoral Advise
 
Ndoa kwanza ndiyo muishi pamoja. Usikubali kuishi pamoja kabla ya ndoa. Ukifanya hivyo ndoa ujue itaota mbawa.

 
tuna 5 yrs na pesa sio tatizo mbona ni watu tunaojiweza

Sent from my SM-A800F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…