Kuishi na Mchepuko mwaka 2024

Huyo wa lodge sio mchepuko,mchepuko anapangiwa nyumba baba bei kati ya laki2-3....full furnished na matumizi ya Kila siku.
 
Ndo maana nimesema kwa kujibana, hapo kwemye kumpangishia ni next level anaelekea kuwa mke.
 
Sasa kama lodge 50 ,Kwa wastani wa Kila weekend kuonana nae si Bora umpangie tu nyumba mcheps wako akutoe stress 😬
 
Idea nzuri...sema kutakuwa na investment cost..ni bora kufanya hivyo if umejipanga
 
Sasa kama lodge 50 ,Kwa wastani wa Kila weekend kuonana nae si Bora umpangie tu nyumba mcheps wako akutoe stress 😬

Sema mama unataka tukupe cheo gani kwenye chama chetu cha mabazazi...

Maana tukikujengea sanamu litaishia kunyewa na kunguru...
 
🤣🤣🤣🤣Katibu mkuu kiongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…