Shida ni kwamba huwezi tambua hayo yote, labda mpaka mtu akuambie.
Mfano budget ya kutoka na mchepuko kwa kujibana
Jumla hapo 160k hiyo ela huwezi ona ni kubwa but ukiileta na kwa familia ni pesa ambayo wanaweza kula na kujigalagaza mwezi mzima kama siyo nusu mwezi, but unaispend kwa siku moja.
- Lodge 50k
- Chakula 30k
- Usafiri 30k
- Yeye utamuachia min 50k
Naona mkuu wa kurugenzi ya habari na mawasiliano mbinguni unatoa tamkoMungu hapendi kabisa hii tabia ya Kuishi na watu ambao sio wake zetu
Kwani na wewe ni mchepuko?heeeee kwahiyo unataka tuachwee
We nae sio mjanja kama mchongo ni nyege tu hyo ya lodge tu inacover kelele zote ulizoandika hapoShida ni kwamba huwezi tambua hayo yote, labda mpaka mtu akuambie.
Mfano budget ya kutoka na mchepuko kwa kujibana
Jumla hapo 160k hiyo ela huwezi ona ni kubwa but ukiileta na kwa familia ni pesa ambayo wanaweza kula na kujigalagaza mwezi mzima kama siyo nusu mwezi, but unaispend kwa siku moja.
- Lodge 50k
- Chakula 30k
- Usafiri 30k
- Yeye utamuachia min 50k
Shida ni kwamba huwezi tambua hayo yote, labda mpaka mtu akuambie.
Mfano budget ya kutoka na mchepuko kwa kujibana
Jumla hapo 160k hiyo ela huwezi ona ni kubwa but ukiileta na kwa familia ni pesa ambayo wanaweza kula na kujigalagaza mwezi mzima kama siyo nusu mwezi, but unaispend kwa siku moja.
- Lodge 50k
- Chakula 30k
- Usafiri 30k
- Yeye utamuachia min 50k
Utaepuka gharama za lodge, but utakumbana na gharama zingine za maishaWatu wanataka pilika pilika za micheps...
Kuepuka hiz o gharama, unapata mcheps anapangiwa chumba, kodi laki 1...
Toa mchanganuo, kumbuka ni mchepuko siyo bitch.We nae sio mjanja kama mchongo ni nyege tu hyo ya lodge tu inacover kelele zote ulizoandika hapo
Ndo maisha watu wanaishi na yanasongaKama umeacha mke nyumbani na unafanya haya, unastahili kupelekwa Mrembe kwa uchunguzi wa akili!
utaweuka๐๐๐Kumiliki mchepuko angalau uwe na vipesa vya mfuko wa shati vya mishe mishe town!!
Ila kama ndo kungoja kamshahara, usithubutu
mtu mmoja anata amiliki michepuko 10Watu wanataka pilika pilika za micheps...
Kuepuka hiz o gharama, unapata mcheps anapangiwa chumba, kodi laki 1...
unaweza jiona we ndo main chick kumbe ni kamchepuko wanaume mna maana basi ๐ฎKwani na wewe ni mchepuko?
huyo sio mchepuko wakoKuna mchepuko wangu wiki jana, eti anaomba ale kuku..nikajiulizaa nyumbanj kwangu nimeacha mate mbele na dagaa halafu huku ng'ombe anatak kula kuku...aiseee nilimwambiaa wiki ijayo ntakununulia ambayo ni jana. Akanikumbushaa jana nikamwambia hela hio nimenunua kuku mke wang na family yangu..hajanitafuta mpk sasa..๐
Hapo kifupi umeamua kuachana naye, ni hatua nzuriKuna mchepuko wangu wiki jana, eti anaomba ale kuku..nikajiulizaa nyumbanj kwangu nimeacha mate mbele na dagaa halafu huku ng'ombe anatak kula kuku...aiseee nilimwambiaa wiki ijayo ntakununulia ambayo ni jana. Akanikumbushaa jana nikamwambia hela hio nimenunua kuku mke wang na family yangu..hajanitafuta mpk sasa..๐