julius mahinya
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 1,152
- 384
Imekuwa ni kawaida watu kutamaani kuishi maisha ya kwenye movie unakutana na msichana ili umtongoze sharti umuite mahali tulivu apate kinywaji pengine chakula ndio uanze kurusha verse ukiwa hujui atakubali au la lakini mfuko wako umetobolewa nae tiari!
Huyu huyu anayetaka kuoa/kuolewa anategemea akaishi maisha kama alivyoona kwenye movie flani hivi! anadhani maisha ni rahisi kama kwenye movie! baby nipeleke shopping anafika anakusanya rundo la nguo, vipodozi, viatu,n.k huku akitegemea mfuko wako.
Usipotoa hela anaona hujamtendea haki. utasikia mbona wenzio hawako hivyo mtake sasa akupe mfano mtu ambaye hayuko hivyo, hana ila anaona kwenye movie!
Life is performance , life is not rehearsal. Wadada kwa wakaka kila kitu si rahisi kama muonavyo kwenye movie mtu katoka labda kijijini mara tu maisha yamenyooka kafanikiwa na wewe unaiga tu! msichana wa leo namaanisha mwenye hadhi machoni pa watu kumpata ukiwa umevaa kanda mbili unakwatua chini sahau sharti uwe na gari ndio umpate na wengine hudhani mwenye gari ana hela nyingi sana kila akitaka basi lazima umpe unakuta anang'ang'aniza utadhani mchawi.
Na hivi wasanii wetu hawajui wao ndio kioo cha jamii wanacopy maisha yasiyo yetu wanaigiza, movie nyingi hata mtu anaeekiti masikini basi ana nyumba na fursa mbele yake ya kutatua umaskini kitu ambacho sio kweli kwa jamii zetu za kiafrika, kila boss ana gari kwenye karibia kila movie.
Wadada wanatafuta mtu mwenye maisha flani alioona kwenye movie basi ndio aolewe naye huku wakaka nao kuoa ni issue nyingine anataka awe na vitu sawa na watu wa kwenye movie flani ndio aoe!
Maisha ya movie ni rahisi sana ndugu zangu kuliko uhalisia wa maisha sahihi sanaa iliopo haikidhi kutoa elimu na burudani sawa na mahitaji yetu kifupi sio bora. Maana haitatui matatizo ila inayazidisha so better uwe na your own view ya maisha na si kuona flani kavaa nguo flani basi na mimi nataka, yaani mdada yuko busy na movie kisa aishi nae hivyo kwenye maisha halisi.