Kuishi maisha ya movie

Kuishi maisha ya movie

Yani hadi leo unamuita mtu mahali ili mle kisha umtongoze
masikini sijui ndo unaanzaje " dada nikinywa maji nakuona kwenye glass, silali nakuota"
acha tu ufanyiwe movie kwakweli kama ndo hivo

Unamchana mtu live tu na jicho kavuu...kama hataki anakujibu kama anataka anakujibu...siwezi kujitia hasara, maisha magumu ati.... toa nikupe staili, dadeki. [MENTION]Evelyn Salt [/MENTION]vipi leo unanafasi.......Mfano tu huo....naona ushaanza kutukana.
 
Back
Top Bottom