Husninyo
Platinum Member
- Oct 24, 2010
- 24,167
- 10,226
Yani hadi leo unamuita mtu mahali ili mle kisha umtongoze
masikini sijui ndo unaanzaje " dada nikinywa maji nakuona kwenye glass, silali nakuota"
acha tu ufanyiwe movie kwakweli kama ndo hivo
hahaha!!! shosti namie nimeshangaa. na mdada anakuwa anajua kama anaenda kutongozwa au??? duh.