Kuishi kwa kipato halali ni ndoto ya masika.

yusuphmarcogaga

Senior Member
Jan 5, 2014
145
162
Wakuu.
Twende mbele turudi katikati maisha haya hayaendi kwa kipato halali bila kuvuta sehemu vnginevo utaishia tu kutaman vitu vya wanaume wenzio hata mshahara uwe mil 1 lakini huwezi kuifanyia budgeting na mwezi ukaisha salama..... Sikushauri uibe ila jiongeze.

Kuna chimbo lingine hapa sitamani hata huyu mzee ajue......
 
Hili swali lako labda halijakamilika, unamaana kuishi kwa kutegemea mshahara bila kuwa na mbinu nyingine za kuingiza pesa? Unaweza kuwa na mbinu mbadala ya mshahara na zikawa halali pia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom