Taurus6
Senior Member
- Nov 5, 2015
- 172
- 94
sijui kwakweli..japo natamani sana siku moja hata anifungukie nimpe hata ushauri kwa sababu kuna kijana mwingine anaishi peke yake na wameomba kulaza pikpik humo asbh wanaitoa sasa kwa upeo wangu nikajiuliza c bora angeomba alale kaka mtu sijapata jibu
Hahaha dah kweli akili ni nywele kila mtu na zake