markdendesi
Member
- Sep 7, 2012
- 45
- 5
Nitamu sana pindi ukiipata, ila kuipata kwake ufanye kazi ya ziada kweli kweli
1. Kuipata ni shida maana ni tamu thanaaaaa
2. Unapaswa uwe na maneno matamu yenye ushawishi
3. Uwe mvumilivu na usiyekata tamaa kirahisi
4. Uwe tayari hata kupokea majibu usiyotarajia
5. Uipatapo yaweza kuwa chungu kama shubiri pindi ukiitumia vibaya au kwa fujo.
Najua wadau mwajiuliza nini hiyo......................???????????????????????????????
Niwaweke bayana si nyingine bali ni................(Nafasi ya kisiasa)
Umeonaeeeee wanavyopata shida kuipata