Kuinua Gari juu kidogo na madhara yake.

Mfichua siri

Senior Member
Jun 19, 2012
135
62
Wadau kutokana ugumu wa maisha nimeamua kununua kigari kidogo ili kupunguza ghalama za mafuta hapa mjini, ila napata taabu sana kupita sehemu zilizowekwa matuta, nilikuwa nimefikiria kwenda Gereji ili niinue juu kidogo.

Lakini nimeelezwa na Layman mwenzangu kwamba kuinua gari juu kuna madhara ya kiufundi kwa gari husika, naomba mnishauri kabla sijaenda kuinua gari juu kidogo. Je kuna madhara gani gari yangu itapata????
 
Gari aina gani mkuu??!!
Spacer unaweka tu kama una uhakika kuwa kutoweka ni detrimental kwa gari kama hivyo inagusa chini; lakini ni kwamba unakaa sehwmu za matuta na madimbwi au kwa tahadhari tu??!!

Zipo za aina mbili za rubber na shaba kama nakumbuka vizuri pia zinatofautiana thickness ila ujue waweza lazimika kubadili tairi na rim ili kupata uzuri ule unaokusudia kama ni toy addict!!!!!

Cc TCleverly
 
Last edited by a moderator:

Utahamisha "centre of gravity, CG" ya gari lako! Itakugharimu kupunguza mwendokasi!
Nina imani matumizi ya mafuta yataongezeka kutokana na ongezeko la "drag force" n.k.

Kubwa kuliko yote, gari lako litakuwa na umbo baya (umbo lisilo asili yake).
 
Wadau kutokana ugumu wa maisha nimeamua kununua kigari kidogo ili kupunguza ghalama za mafuta hapa mjini, ila napata taabu sana kupita sehemu zilizowekwa matuta, nilikuwa nimefikiria kwenda Gereji ili niinue juu kidogo.

Lakini nimeelezwa na Layman mwenzangu kwamba kuinua gari juu kuna madhara ya kiufundi kwa gari husika, naomba mnishauri kabla sijaenda kuinua gari juu kidogo. Je kuna madhara gani gari yangu itapata????

Ukiwekewa spacer itakuwa poa sana
 
Gari aina gani mkuu??!!
Spacer unaweka tu kama una uhakika kuwa kutoweka ni detrimental kwa gari kama hivyo inagusa chini; lakini ni kwamba unakaa sehwmu za matuta na madimbwi au kwa tahadhari tu??!!

Zipo za aina mbili za rubber na shaba kama nakumbuka vizuri pia zinatofautiana thickness ila ujue waweza lazimika kubadili tairi na rim ili kupata uzuri ule unaokusudia kama ni toy addict!!!!!

Cc TCleverly

kwa kweli mimi siasapoti mtu kuweka spacers kwenye gari kwasababu naamini utakuwa una-compromise stability na comfortability ya gari kulingana na specification za gari
 
Gari aina gani mkuu??!!
Spacer unaweka tu kama una uhakika kuwa kutoweka ni detrimental kwa gari kama hivyo inagusa chini; lakini ni kwamba unakaa sehwmu za matuta na madimbwi au kwa tahadhari tu??!!

Zipo za aina mbili za rubber na shaba kama nakumbuka vizuri pia zinatofautiana thickness ila ujue waweza lazimika kubadili tairi na rim ili kupata uzuri ule unaokusudia kama ni toy addict!!!!!

Cc TCleverly
Kaka gari yenyewe ni Toyota Premio new Model
 
Sikushauri unyanyue gari kwani lilitengenezwa kwa ajili nya kimo hicho na kuna sababu za kisayansi kama ivyoeleza mdau hapo juu na ni bora uzichange tu ununue gari ya juu...

Gari ya juu ipo ila ni kubwa na inakula sana wese, labda nishauri ni kigari gani kidogo kinachokula mafuta kidogo na kipo juu
 
Nini kifanyike ninunue Rim kubwa kidogo?

siwezi kukushauri bila kujua gari yako ina rim na tyre size gani.....mimi gari yangu ni coupe sporty,ilikuwa china sana inagusa kila tuta na shimo....ilikuwa ina tairi 225/50/16 nilichofanya nimeweka higher profile tyres ambazo ni 215/60/16 gari imeinuka kidogo,gari ikiinuka hata sentimita moja inaleta tofauti kubwa sana kwenye matuta na mashimo,sasa hivi naendesha kwa raha
 
Kama gari ipo chini sana kuna mambo mawili unaweza kufanya

Mosi: Unaweza kujaribu kuweka rim kubwa kidogo na kuweka size ndefu ya tairi, Hii haina uhakika sana unaweza kuweka ikasaidi kwa asilimia 50 au ikamaliza inategemea

Pili:Ni kuliinua kama ulivyouliza, Hii inauhakika wa asilimia 100 kumaliza tatizo na haina madhara kihivyo kama wengi wanavyodai, gari haitapoteza balance, haitakula mafuta ya ziada wala haitaondoa conftability yake zaidi ya kuondoa ule muonekano wake wa zamani
 
inabidi tuwasiliane na balozi wa japani, ili ayashauri makampuni ya kwao yafanye mabadiliko wakati wa utengenezaji, maana huku bongo matuta yanazua balaa
 
Kaka gari yenyewe ni Toyota Premio new Model

Ok hiyo inakubali rim size 16" kama mpunga upo piga hiyo rim then chagua tyre yenye kina kizuri na upana wa kuvutia,kashata bia zina umuhimu kwenye mvumo wa gari kuna tyre zinavuma kama bearing mbovu zitakukera!!!!!!! hope itasaidia sana na ikiwa bado go for rubber spacers just 1" lakini wanapofunga top mounting hakikisha wanatumia bolt imara na zenye upana na urefu wa kutosha na zikazwe vizuri avoid kuchomelea!!!!!

Cc Goodrich
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom