Kuingiziwa vidole ukeni.

Nilichosema si kwamba nurse ni zaidi ya Doctor, lakini nijuavyo ukiacha kuchoma sindano katika cases nyingine inafaa awepo nurse katika maeneo ya aina hiyo ili kusaidia pia kufanya mazingira ya wenye tamaa yashindwe, kuwatetea hata katika mambo ambayo siyo ethical ni kutetea uovu, fikiria ndugu zetu wangapi wameshafanyiwa hivyo!

ulichosema uko sahihi kuwa anapokuwepo Dr nurse anatakiwa kuwepo ila kwa mazingira ya kwetu watumishi wachache tena kunauafadhari serikalini lakin sekta binafsi ndo shida zaidi hawawezi kuajili manesi wengi kiasi hicho coz wanamaximize for profit, nashukuru kama tumeelewana
 
Ulichokuwa ukikitaka kakifanya sasa tatizo liko wapi..

1..Utaratibu huo uko shaka hamna na alitakiwa aingize dole kubwa ndio linatoa uchafu na kuingiza uchafu mbadala
2..Napita nitarudi baadae
BY MIMI DR MGOMO

wewe utakuwa umesomea chuo cha kata.
 
Hivi hapa tatizo ni nini hasa?
Ni kwakuwa aliefanya kipimo ni mwanaume

Au hapakuwa na third part

Ama ni kwasababu hakuambiwa kabla ili kupata conset ya mgonjwa

Kama ilivyo kawaida yetu wabongo biznezi az ...........haya ni mambo ya kawaida kwenye hospital zetu za kibongo tena hayafanywi kwa nia mbaya bali ni "utaratibu" wa kawaida kabisa eidha uwe sahihi au si sahihi.
Kufanyiwa hiyo kitu na dr wa kiume sio kesi na pia hata angekuwepo third part katika issue hii asinge badili kitu, ingekuwa kama ilivyokuwa

Tatizo ninaloliona hapa ni kuwa mgonjwa hakuandaliwa kisaikolojia japo kwa kuambiwa tu ni aina gani ya check up atakayofanyiwa
Pia inaonekana hii ni mara ya kwanza kwa mgonjwa kufanyiwa kipimo hicho sasa ukijumlisha na hakuandaliwa basi imemjengea hisia mbaya na kuchukia tendo zima kiasi cha kupelekea kudai eti aliambiwa avue nguo zote
Sitaki kuamini kama kweli aliambiwa avue kila kitu abaki kama alivyozaliwa

Kitu kingine ni huu utamaduni wetu wa kusema "sehemu za siri", hii inapelekea watu kuona eneo hilo ni kitu kingine kabisa nakinahitaji sijui spesho care.

Pole mleta mada hiyo ndio bongo zaidi ya uijuavyo sahau samehe then songa mbele, ila kwa inavyoonyesha hujapata mimba bado, sasa jiandae kwa zoezi hilo pindi upatapo mimba utaingiziwa vidole vinne just kuchek njia karibu kila baada ya wiki mbili.
WELKAM TO ZE WODI
 
Leo nlienda dispensary, nikiwa nahisi maumivu makali kwenye kipofu, nlihisi ni UTI (sijui kitaalam), baada ya kumweleza doctor tatizo langu aliniambia nivue nguo zote kisha nipande kitandani. Kilichonikera zaidi ni kwamba alivaa gloves, na kuniingizia vidole kwenye uke, kimsingi alikuwa ananiumiza, nlipo mweleza akaniambia hayo ni mambo ya kawaida huku, kisha akasema alikuwa anachek kama kuna uchafu. Naamini kuna madaktari Jf, naomba msaada ili nifaham,

1)Je ni utaratibu unaokubalika kutumia vidole kumpima mtu anyehisi maumivu ya kibofu?
2) Ni uchafu wa aina gan angeweza kuubaini kwa vidole vyake?


Naomba ushauri wa Dr.

Nikawaida kwa MAGONJWA kama hayo kuna kitu kama stick daktari anakitumia kuangalia uchafu na kina vipimo vyake kutokea kwenye kizazi hivyo dkt ana angalia kuenea kwa tatizo karibu na kizazi ili upate tiba muafaka.sasa kwa mkono sijui labda hakuwa na kifaa hicho na anaweza kukadiria sentimita kwa kidole.kwani wewe huja zaa mpaka unaogopa dkt kuweka kidole?
 
Majibu kama ya Mupirocn kidogo yanatia moyo na kuinua hadhi ya Jf kuomba msaada unapotatizwa na jambo! MLIO NA MAJIBU MABOVU JIFUNZEN KUWA WASTAARABU, MTAWAFANYA WATU WAOGOPE KUOMBA MSAADA KWA YANAYO WATATIZA!
 
Kamwambie mumeo na umuonyeshe huyo dr uchwara. lazime apewe stahili yake hana heshima. next time be careful dada na hawa wahuni walioingilia fani za watu.
 
Hiyo haina shida. Ila condition laziima ifanywe na mwanamke mwenzio.; However some times not easy kuwapata Gyno wote wanawake. kwa hiyo Dr ni shart afanye procedure hiyo akishuhudiwa na NURSE MWANAMKE TENA ANAYEHUA MAMBO YA GYNO.Peke yake peake NO, NO, NO. MSHITAKI HUYO amekudhalilisha ama sexual abuse!! Not proffessional
 
Kwa walio soma muhimbili miaka ile watamkumbuka marehemu prof. Aziz alikuwa anasema ' if you are shy to put a finger then you will put a leg' kwa maana kwamba ukiogopa kumpima mgonjwa kwa kutumia kidole chako unaandaa miguu yako kushindilia udongo kwenye kaburi lake.
Kidole ni very sensitive tool kwenye medicine na huweza kugundua matatizo mengi yakiwa kwenye hatua za mwanzoni kabisa hasa kansa.
 
Pole shosti mie Mwenzio nikienda nikiuliza dr ninani akinambia wakiume narudi au naenda hospital nyengine, dr wakiume namuogopa, wa kike anambie nivue nguo zote navua bila wasiwasi..
 
Jamani Kwani Madaktari wa kike hakuna? Na Wanawake Wengi wanapenda sana kutibiwa na Madaktari wa kiume haswa ktk magonjwa hayo yanayohitaji uchunguzi.
 
Jamani Kwani Madaktari wa kike hakuna? Na Wanawake Wengi wanapenda sana kutibiwa na Madaktari wa kiume haswa ktk magonjwa hayo yanayohitaji uchunguzi.
Hii ni kweli kabisa, wanawake wengi hawapendi kutibiwa na wanawake wenzao kwa sababu huona kama wata washangaa, na kuwaona kama sio wasafi! Madaktari wa kiume hu care na huwa na polite language.
Kama unabisha nenda aga khan ona nyomi ya shaffiq,au muhimbili kamugisha hawa ni ma gyno, na kote huku wapo ma gyno wa kike pia. Lakini wengi hupendelea wanaume.
 
DR mmoja hospitali nzima.. bado mnataka na third party? kama kakutibu umepona toa shukrani... vipimo kwa vidole ukeni ni kawaida sana kwa nchi zetu hizi ambazo diagnosis zinafanyika manually na hakuna mtu anataka kuona uchi wako au kuingiza kidole chake uchini mwako kama hakuna sababu za msingi..
 
Back
Top Bottom