Kuingiziwa vidole ukeni.

Even when performed by a male Gynecologist the presence of a female professional (Med Doctor au hata Nurse) is required.
Furthermore walitakiwa kumwambia about all other alternatives that exist to that examination method...

Hii kitu inakera sana kwa sababu madaktari wengine wanachukulia ignorance and innocence ya dada zetu kuwafanya kama learning toys!!

Inakera sana,

Babu DC!!
 
Jamani jf kuna raha. wanaokosa nawaonea huruma huwezi kufika bila ya kucheka kunamtu kanifurahisha sana tu.
 

sheria ya wapi mama, acha kupotosha Dr yupo deep kuliko nesi, nurse yeye ni kwaajili ya care na kufanya yale anayoamliwa na Dr. In most case nurse receives orders from Dr, he/she do not have mandate to prescribe ndiyo maana nurse analala hospital akija mgonjwa Anamwita Dr aje kumwona na kuamua nini cha kufanya anafanya kile anachoamuliwa na Dr.
 
Huu ni udharirishaji na wanaolitetea jambo hili wana matatizo ya akili, dada nenda tume ya haki za binadamu au TAMWA watakupa msaada zaidi lazima akamatwe huyo mshenzi kigunia
 
Inabidi nikasome gynaecology faster... (Maneno mengine yamepelekea BAN toka kwa mods)
 

Dada Kidafani, jamaa alikuingizia vidole vingapi? Nauliza hivi kwa sababu idadi ya vidole alivyotumia itasaidia kujua dhamira ya daktari kutaka kupata ufumbuzi wa tatizo lako na siyo kukuchezea?
 
kama mwanamke mwenzio hamna ubaya wowote usiwe na shaka. pia alikuwa anacheki kama una uvimbe ndani ndo maana vidole vikafanya kazi.

We JS acha bwana!? Kumbuka hapa suala ni mtu kuingiziwa vidole kwenye sehemu zake za siri. Kwa nini iwe sawa kwa mwanamke mwenzie?
 

well said mate na pia ehically speaking Dr. alkosea kwa kawaida huwa tukifanya exam kama hiyo NI LAZIMA AWEPO NURSE PEMBENI ... sijui kwa sheria za TZ lakini huku ninapo practice medicine ndio ipo hivyo..
next time sis Kidafani omba nurse aje ni haki yako ..
 

Huyu nidokta kweli.Mi nimeelewa.
 
Pole but u could hav gone 2 a gyno maelezo utayotoa ndo yatakayotoa mwelekeo wa kipimo kipimo kipi kitumike may b he needed 2 take a sample of the mucus inside,by da way i am sure dat, dat waznt the only way,may b he admired u..
 
Principles of medical examination: Inspection (kuangalia/kutazama), Palpation (kupapasa/kutomasa), Percussion (kugongagonga), Auscultation (kusikiliza). Any female patient with a gynaecological complaints anatakiwa afanyiwe vaginal examination also using speculum. Na male patient at the age of 45 years and above ni muhimu kupata digital rectal examination at least once a year!
Tatizo letu wa bongo hizo ni sehemu tunazoziita ni za siri, matokeo yake ndo maana tunakuwa na advanced cancers just kwa kuogopa hivyo vipimo.
 
Huu ni udharirishaji na wanaolitetea jambo hili wana matatizo ya akili, dada nenda tume ya haki za binadamu au TAMWA watakupa msaada zaidi lazima akamatwe huyo mshenzi kigunia

hujui nini unachoongea! Alichokosea jamaa hakumwambia huyo dada nin atamfanyia ili akubali au akatae. Kwa wale wafeminist ingekuwa bora zaidi mkipiga kelele na binti zenu wakasome medicine ili waje kuexamine wanawake. Hakuna procedure madoc wa kike huwa wanakwepa kama kumcheki sehemu za siri mwanamke mwenzie. Sijui ni kwa sababu wanazifahamu adha za huko! Aafu wadada mi nawashangaa sana wengine wanakuja hospital wakikuta dok wa kike hawaingii mpaka wakutane na mwanaume. Huku mnajidai mko sensitive sana na mambo ya jenda. Tutakutana labor!!
 
polee sana, next time usiende dispensary nenda hospital, hao wa dispensary ni M.O tu , unahitaji diagnosis by MD.
 
polee sana, next time usiende dispensary nenda hospital, hao wa dispensary ni M.O tu , unahitaji diagnosis by MD.

kwa hiyo unahisi atakwepa fingers au hatowekewa vidole maana MO na MD sawa tu ndio maana hawavai sare kama manurse..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…