Kuingiza pesa kwa kuangalia video za watu mtandaoni

frenderPH

JF-Expert Member
Oct 30, 2019
619
806
Wadau habari za jioni, niende moja kwa moja kwenye mada hpo juu Ndugu zangu natafuta website ambayo itanilipa kwa dola kwa kila video nitakayoiangalia katika mitandao ya kijamii kama kuna mtu anajua yoyote naomba anitajie

Mwanzoni wna nyingi lakini kwenye hizo website wamefunga kipengele cha vidio wameacha vingine tu ambavyo ni ngumu kupata pesa kwa mfano BuxInside ilitufaidisha lakini baadae wametoa kipengele cha vidio wameacha vingne vya survey ambavyo ukifanya survey 1 unapata pesa ndogo sana km 0.01$ ambayo sio inshu

SO Guyz naomba mwenye knowledge ya hiko ki2 hapo naomba anisaidie website
 
Mkuu kama una video yako unataka iangaliwe unaweza weka insta kwa dola 1 unapata views hadi 1000, same kwa platform nyengine. Kwanini mtu akulipe wewe dola 1 ukiangalia video?
Nop sio mtu anaekulipa ni kampuni ndo inakulipa kwa kuangalia vidio yyte utakayoitaka
 
  • Thanks
Reactions: Tif

Vaa viatu vya hiyo kampuni, kwanini ilipe dola kwako kuangalia video? Wakati kuna sehemu za kutangaza wanapata views kibao?

Wengi hao wanao kupromise dola 1 kwa kuangalia video ni wahuni na hela yako hutaipata utakesha kuangalia video.
 
Wadau habari za jioni, niende moja kwa moja kwenye mada hpo juu Ndugu zangu natafuta website ambayo itanilipa kwa dola kwa kila video nitakayoiangalia katika mitandao ya kijamii kama kuna mtu anajua yoyote naomba anitajie

Mwanzoni wna nyingi lakini kwenye hizo website wamefunga kipengele cha vidio wameacha vingine tu ambavyo ni ngumu kupata pesa kwa mfano BuxInside ilitufaidisha lakini baadae wametoa kipengele cha vidio wameacha vingne vya survey ambavyo ukifanya survey 1 unapata pesa ndogo sana km 0.01$ ambayo sio inshu

SO Guyz naomba mwenye knowledge ya hiko ki2 hapo naomba anisaidie website
Unapoteza muda tu
 
  • Thanks
Reactions: Tif
Yaani uangalie video kwa faida yako halafu ulipwe? Mkuu bora kuwa dobi utapata pesa kuliko hiyo kitu.
 
Vaa viatu vya hiyo kampuni, kwanini ilipe dola kwako kuangalia video? Wakati kuna sehemu za kutangaza wanapata views kibao?

Wengi hao wanao kupromise dola 1 kwa kuangalia video ni wahuni na hela yako hutaipata utakesha kuangalia video.
Ndugu yangu ungekua unaijua App inaitwa Geopoll haya mambo usingekataa tena hii bongo inatumika sana unafanya survey tu unalipwa pesa sema inakuaga ni kidogo tunanunulia bando za simu, ungekua ushaitumia hio usingekataa hichi nnacho kwambia. Afu istoshe sio mpk uamin wew
 
Sasa huo muda unaotumia kufanya survey or kuangalia matangazo ya watu kwann usijifunze ata namna ya kuwa blogger mzur baadae uombe matangazo ya Google(adsense) ulipwe pesa ya kueleweka kuliko kupoteza muda wako.
Tatizo mnapenda shortcut mno yaan site kuangalia ads nakulipa $0.001 alaf mm nachukua $0.1 nani anapata faida hapo chukua uamuz fanya kama alivyokushaur CHIEF MKWAWA kuwa vaa uhusika wa huyo unaemfanyia kazi.
 
Geopoll wao wanadeal na ukusanyaji data kama bei ya mazao na mambi mengine hivyo kukulipa hicho kiasi kidogo ni haki kabisa. Lakini kwanini ulipwe kwa kutazama video 😀😀😀
 
Geopoll wao wanadeal na ukusanyaji data kama bei ya mazao na mambi mengine hivyo kukulipa hicho kiasi kidogo ni haki kabisa. Lakini kwanini ulipwe kwa kutazama video
Haha nani aliekwambia Geopoll data zinakusanywa ni za kweli, zile survey zinajazwa tu hata udanganye ela inakuja pale pale, sasa ndo uamini nnachokwambia kulikuwa kuna web ambazo zilikua zinatoa hivo vitu afu istoshe zilikua zina offer vitu vingi kama Survey namna ambayo Geopoll wanafanya, au Kucheza Game online per game unalipwa na hio site unaangalia vidio unalipwa, sema hujaviona hivi vitu ungeniamini ungeviona
 
Sasa huo muda unaotumia kufanya survey or kuangalia matangazo ya watu kwann usijifunze ata namna ya kuwa blogger mzur baadae uombe matangazo ya Google(adsense) ulipwe pesa ya kueleweka kuliko kupoteza muda wako.
Tatizo mnapenda shortcut mno yaan site kuangalia ads nakulipa $0.001 alaf mm nachukua $0.1 nani anapata faida hapo chukua uamuz fanya kama alivyokushaur CHIEF MKWAWA kuwa vaa uhusika wa huyo unaemfanyia kazi.
Blogging inahtaji kazi kubwa me nataka kutengeneza Free online tool, au Online Forum , wew una blog??
 
Ndugu yangu ungekua unaijua App inaitwa Geopoll haya mambo usingekataa tena hii bongo inatumika sana unafanya survey tu unalipwa pesa sema inakuaga ni kidogo tunanunulia bando za simu, ungekua ushaitumia hio usingekataa hichi nnacho kwambia. Afu istoshe sio mpk uamin wew
Huyo unayembishia ndio bingwa wa mitandao na vifaa vyake humu JF. Nyinyi wakuja kutoka Chitohori mkimbishia huwa hamtoboi na mnakaa kimya wala hamleti mrejesho. Kwa akili za darasa la saba tu, nani atakupa $1 kwa kutazama video yake?

Yani kuna biashara gani uliwahi ona anayefaidika ndiye analipwa hela. Unaenda cinema ukitegemea kulipwa, yani watu wamekosa biashara za kufanya wameamua watumie muda kutengeneza graphics na kuandaa video clips ili utazame bure na ulipwe? Hizo Geopoll na Spenn tumeona na hela wanayotoa ni kidogo na kazi inayofanywa inajulikana. Sasa kwenye kutazama video kuna nini unamuongezea mwandaaji

Kuna mmoja hapo kakushauri jifunze blogging ili upate hela za AdSense na advertisers. Huwezi kalisha mapumbu chini na tekno yako unasubiri mwanaume akulipe kwa kiherehere chako cha kutazama video. Na ulivyo hamnazo kuna hela umeambiwa utangulize kama mbegu ili zizaane. Hebu tumia elimu usitumie vyeti.

Nimetumia lugha kali ili usijiendekeze na kutegemea hela za bure ila ukikaza kichwa shingo itakayovunjika ni yako.
 
Haha nani aliekwambia Geopoll data zinakusanywa ni za kweli, zile survey zinajazwa tu hata udanganye ela inakuja pale pale, sasa ndo uamini nnachokwambia kulikuwa kuna web ambazo zilikua zinatoa hivo vitu afu istoshe zilikua zina offer vitu vingi kama Survey namna ambayo Geopoll wanafanya, au Kucheza Game online per game unalipwa na hio site unaangalia vidio unalipwa, sema hujaviona hivi vitu ungeniamini ungeviona
Mkuu nalokwambiaa nalijua, wao wanakusanya data wewe unajaza uongo lakini wao lengo lao ni kukusanya data za kweli.
Mimi nishawahi kuwa coordinator wa survey za tz za geopol kwa miezi sita mwaka jana hiyo so najua ninachokwambia.
Hakuna nisichojua kuhusu earning money online kwasababu ndiyo kazi yangu rasmi hivyo naweza kusema najua what works and what doesn't.
 
Back
Top Bottom