FAHAMU: Part Time Jobs zenye Pesa ambazo watu tunashindwa kuzifahamu kwa undani na kukosa taarifa.

Evans-Arsenal

JF-Expert Member
Jan 10, 2016
868
1,385
1. Blogs and Websites
bac0d9e2e292637d26497f97b4da33e3.jpg

Moja kati ya vitu vinavyowapa pesa watu katika mitandao ni pamoja na kuanzisha blogs na websites ambazo zitakufanya kutoa Taarifa/Habari mablimbali na watu kuziangalia mara kwa mara. Mtu anayeanza atatakiwa kuwa na mtaji kidogo kama wa Laki2-5
Kwa mfano: kuwa na smartphone nzuri, laptop nzuri etc.
Habari utakazoripoti katika ukurasa wako zinaweza kuwa za michezo, siasa, uchumi n.k pia blogs au website utakayofungua inatakiwa kuwa na vitu vikubwa ambavyo ata mtu akisearch ataweza kukuona kwa uharaka sana (Searching Engine) hii inawezekana kwa kununua kwenye mtandao inaweza kuwa dollar8,12 au dollar25 kama anayotumia Millardayo ndo maana ukisearch tu kwenye mtandao yeye ndo huwa anaappear sana kwa sababu hiyo.
Watu wanafeli katika blogs na website kwa sababu pia ya kushindwa kupata Templates nzuri yenye muonekano mzuri kwa kuchukua zile zenye mwonekano dhaifu.
dac67c6e0ffa3dae681cfb0442baf2f3.jpg

Watu wanatengeneza blogs/websites na wanafanya kama parttimes kama wanafunzi wa chuo wanavyofanya wanasoma lakini wanakuwa wanareport baadhi ya matukio asubuhi, mchana au usiku huku wanafanya kazi na masomo pia.
d585a9787eb0552e4347bbaed8bb5c1a.jpg

Hizi ni baadhi ya blogs na Website kongwe kwa Tz.

2. AIM Global
AIM Global ni moja kati ya business inayoendea kwa kasi hasa afrika mashariki na kwa Tanzania ilianza kuingia mwaka 2016 December, ni biashara ambayo haihitaji elimu yoyote katika kutengeneza pesa.
0916f2bb7e312d1e9c1823d9e80b331a.jpg

Wengi wa watu waliojiunga ni wafanyakazi kutoka ofisi mbalimbali na wanafunzi wa vyuo vikuu hasa Dsm n.k, Ni biashara ambayo inaanza na mtaji wa 560,000/= tu na mtu anatengeneza pesa sio chini ya milion1 (1,000,000)kwa wiki.
92d6d7d9f04d777a16d8d1dbfb060813.jpg

Huyu ni mmoja kati ya watu wanaofanya part time job Alliance in motion Global na hapa ndo anapoenda kutoa hela zake alizopata kwa kipindi hicho.
Biashara hii inamuhitaji mtu anayejiunga kuwaunganisha watu wawili tu ambao yeye atawapata katika muda wowote ule (Power of two people). Mtu huyu akishawaunganisha watu wawili yeye anapumzika na hawa watu wawili aliowaunga nao watafanya hivyo hvyo so network inaongezeka kila siku. Kila mtu mmoja anapounganishwa wewe ukiwa upo kazini unaendelea na majukumu yako utalipwa 34,000/= kwa kila mtu mmoja na 69,000= ya ziada kama pair ikikamilika lwa hiyo lwa watu wawili tu utapewa [
137,000/= (34000+34000+69000) kwenye account yako.
So hii system itaendelea kwa kila mtu atakayekuwa anaunganishwa chini yako na watu wale wawili uliowaunganisha mwanzoni na system hii itakufanya uwe na uwezo wa kitengeneza mpaka 500,000/= kwa siku moja tu kama utakuwa unafanya vizuri na watu wako na kuwashirikisha vizuri kla hatua inayoendelea. Mtu akishawaunganisha watu wawili inatosha kabsa maishani mwake kote ataendelea kupewa hela katika Account yake na kama atapata watu wengine wa ziada basi atawapa watu wale wa chini yake ili network yake iendelee kukuwa na hii system inamsaidia hata yule ambaye yupo slow katika business aweze kupata pesa kwa uharaka hata kama yupo na majukumu mengine ya kikazi.
Mbali na kutengeneza pesa hivyo pia kuna kuna safari za kwenda nje ya nchi kama Philliphines ambapo ndo makao makuu ya biashara hii inapoanzia.
Hii ni miongoni kwa projects ambazo watu wengi wamefaidika sana hapa Tanzania kwa kupata mafanikio na kwa sasa inaenea mikoani kwa haraka
a250167331c6856da3f1ae7de97b5176.jpg

Huyu ni mwanafunzi na ndani ya miezi mitano ameweza kutengeneza million10 na sasa ananunua gari lake la kuanzia.
06a4d9c0793c82f26c7609648acbcfb0.jpg

Hii ni mfano wa account ya mtu aliyejiunga ikionesha Transactions zote za hela zilizopo katika account yake.
Baadhi ya watu wanaofanya partime job Aim global na kuna wengine wanaopata hadi Millioni 1-3 kwa siku moja tu (Duncan Atukwase na Elias Muhonzi)
7e7d80840ee146b73ff26aca9d1237e6.jpg


3. YouTube Channels
Youtube channels ni moja kati ya mfumo ambao unakuwezesha kupata pesa kwenye Google Adsense kwa wewe mmiliki wa channel kuweka baadhi ya video zako unazopenda watu wako waweze kuziona.
164e9cc2033f69f201afc18b4ba95b49.jpg

Hapa utatakiw kuwa na mtaji wa Smartphone, laptop, camera nzuri kama utaweza kuwa nayo na Tripod stand kwa ajili ya kurusha Live Events (Livestreaming) kama kurusha taarifa ya Habari na video zako nyingine ili uwavute watu haraka waweze SUBSCRIBE channel yako na kuweza kupata habari mapema
Mtu mwenye channel youtube atatakiwa kuwa youtube Parter na ataunganishwa na Adsense ili aweze kulipwa. Hapa ni kwamba wewe kama mmiliki wa online tv utaweza kuweka video zako kama za siasa, michezo, burudani n.k upendavyo na hizi video sio lazima utengeneze wewe bali unaweza kuchukua pia video za watu wengine na kuziupload kwenye ukurasa wako na watu wakawa wanaangalia na ukatengeneza pesa na siku ya mwisho unaweza kulipwa pesa ndefu na Youtube kila ufikishapo Dollar100 na zaidi.
b8ba19c1ceda6d4ec83982219f0baf7e.jpg

d2f2d7bfb6a2c36b0d00b7268aea7bc9.jpg

Mfano mtu kama AyoTv analipwa takribani millioni zaidi ya 20-40 na youtube per month na channel nyingine pia GlobalTv.
0878a0f826f5cf4f207f5f029eefd336.jpg

448db28076b4e775cecb952be71cf281.jpg

Mfano mtu kama BishopGwajima yeye anawekaga video zake Jumapili tu na anaingiza pesa ndefu tu na watu wengine kama Bongostars yeye anaupload but sio kila mara lakini hela anayotengeneza na channel nyingine wanaweka videos sio zaidi ya 5 kwa siku lakini wapo vizuri kwenye kutengeneza pesa.
3ea2d264fe9fe25b907b89aa3f1d1131.jpg

d92b1197b0af35dcdb0ed3dfe559e6b9.jpg

Hizi ni baadhi ya Youtube channels ambazo zipo Youtube na sio kwamba wanaupload muda wote lakn wanatengeneza hela online.

PM kwa msaada zaidi kama kuna sehemu hujaelewauna

Biashara nyingine za Part time nitaendelea kuziweka kila siku ntakavyokuwa napata muda wa kuandika na kushare na nyie au kama Unajua part time jobs nyingine zenye pesa ziweka hapa ushare.
[/b][/b][/b][/b][/b][/b][/b][/b][/b][/b][/b][/b][/b]
 
Hiyo ya kwanza nimeshaifanyia uchunguzi nikajua kuwa inalipa ila natafuta tu jinsi ya kuanza, angalau hata niwe naandika na kupost mara moja kwa wiki kuhusu mada flani hivi, dadavua kuhusu 1st atier countries,2nd atier countries and 3rd atier countries kwenye blogging.
 
Namba 1 na 3 naona maelezo yake yako straight! Ila 2 naona Kiswahili kingi na uongo mwingi. Kwanini? Unasema biashara hii imeanza mwishoni mwa 2016 hapa bongo, lkn cha ajabu umetupia picha za watu unaoawaita wanafunzi wa udsm na St Joseph wakiwa wamefanikiwa kununua magari ndani ya miezi 5, ambayo ni sawa kwa hesabu zako, lkn namba za hizo gari IPO moja tu ya mwaka huu (DKJ) nyingine zote ni za zamani tu! Napata mashaka na ukweli wako. Pili husemi biashara Hiyo ni kufanya nini hasa!!! Au ndo uleule ujinga wa forever living!!!?
 
Hakuna biashara ngumu kama hio ya blogging na youtube, Watu huwa wanaambiwa tu kwamba ukitengeneza habari kwenye blog unaipost tu au ukiupload video kwa youtibe wewe unasubiri mpunga tu, HAKUNA FREE LUNCH HII DUNIA.

Hizo kazi za blogging na youtibe watu wabapiga full time na wanaambulia laki 6 kwa mwezi, Unajua kwanini?, Ukipost habari ndo kazi yenyewe sasa inaanza, Hapo itabidi ushare kwenye magroups kama ya face book ili habari yako itazamwe na watu wwengi, Na facebook walivyokuwa wasgenzi siku hizi ukishare habari kwenye magroup mengi wanakuona unafanya spamming na unaweza kublokiwa so cha kufanya ni kuwa na accounts kibao f.b

Jamani hizi kazi mzisikie tu, Mullard ayo ndio anapiga pesa lakini nadgani mnaijua kazi aliyoipiga hadi yupo alipo sasa
 
Hakuna biashara ngumu kama hio ya blogging na youtube, Watu huwa wanaambiwa tu kwamba ukitengeneza habari kwenye blog unaipost tu au ukiupload video kwa youtibe wewe unasubiri mpunga tu, HAKUNA FREE LUNCH HII DUNIA.

Hizo kazi za blogging na youtibe watu wabapiga full time na wanaambulia laki 6 kwa mwezi, Unajua kwanini?, Ukipost habari ndo kazi yenyewe sasa inaanza, Hapo itabidi ushare kwenye magroups kama ya face book ili habari yako itazamwe na watu wwengi, Na facebook walivyokuwa wasgenzi siku hizi ukishare habari kwenye magroup mengi wanakuona unafanya spamming na unaweza kublokiwa so cha kufanya ni kuwa na accounts kibao f.b

Jamani hizi kazi mzisikie tu, Mullard ayo ndio anapiga pesa lakini nadgani mnaijua kazi aliyoipiga hadi yupo alipo sasa
Acha kukatisha watu tamaa kila MTU na riziki yake unapotaka kufanya jambo usiangalie watu walioshindwa tazama walio weza ujifunze waliwezaje acha ujinga
 
Kwa wale wanataka kujua haya mambo(Online Marketing) kwa kina wachek banner hapo chini vitu ambavyo tutajifunza kuhusu biashara ya mtandao. Karibuni
 

Attachments

  • bannTz.jpg
    bannTz.jpg
    67.1 KB · Views: 134
Back
Top Bottom