frenderPH
JF-Expert Member
- Oct 30, 2019
- 619
- 805
- Thread starter
- #21
Sijakataa kwamba anajua, lakini hawezi jua kila kitu online acha ulimbukeni anachoniambia ni fact kabisa lakin sio kwa viwango hvo ambavyo mm naielewa mitandao ndo maana nampinga anaposema haijawah tokea kitu kama hio kwamba unalipwa kwa kuangalia vidio za watu Enewei yey ni IT gan kama haya mambo nnayoongea hayajui mnanisikitisha sanaHuyo unayembishia ndio bingwa wa mitandao na vifaa vyake humu JF. Nyinyi wakuja kutoka Chitohori mkimbishia huwa hamtoboi na mnakaa kimya wala hamleti mrejesho. Kwa akili za darasa la saba tu, nani atakupa $1 kwa kutazama video yake?
Yani kuna biashara gani uliwahi ona anayefaidika ndiye analipwa hela. Unaenda cinema ukitegemea kulipwa, yani watu wamekosa biashara za kufanya wameamua watumie muda kutengeneza graphics na kuandaa video clips ili utazame bure na ulipwe? Hizo Geopoll na Spenn tumeona na hela wanayotoa ni kidogo na kazi inayofanywa inajulikana. Sasa kwenye kutazama video kuna nini unamuongezea mwandaaji
Kuna mmoja hapo kakushauri jifunze blogging ili upate hela za AdSense na advertisers. Huwezi kalisha mapumbu chini na tekno yako unasubiri mwanaume akulipe kwa kiherehere chako cha kutazama video. Na ulivyo hamnazo kuna hela umeambiwa utangulize kama mbegu ili zizaane. Hebu tumia elimu usitumie vyeti.
Nimetumia lugha kali ili usijiendekeze na kutegemea hela za bure ila ukikaza kichwa shingo itakayovunjika ni yako.