KUINGIA KANISANI..HUKO NIGERIA KUSINi

SILENT WHISPER

JF-Expert Member
Jun 26, 2009
2,209
821
HII VP.jpg

je tutafika..??
 
Tena hivi vitoto rahisi sana kuvishwa bomu siakijui wakati huo
 
Ukiona mwenzio ananyolewa tia maji, wajinga wanapenda sana kuiga mambo ya hatari na bila hata huruma leo ni wakristo, kesho wenyewe kwa wenyewe na mifano ni mingi, angalia Pakistan, Iraq, Silia, Misri, sudani, Somalia, Libya. na sasa Zanzibar. Hivi huyu Mungu ni Mungu Yupi anaeruhusu kuua watu wasiona hatia?
 
Back
Top Bottom