Kuingia bure ,kutoka unaacha kichwa

Murtadi anaekatwa kichwa ni yule anaingia na kutoka kwenye dini mara tatu alaf anakua mfitini wa dini.

Kaingia uislamu miezi 6 katoka kaingia tena baada ya mwaka katoka then anakuja kuingia tena kwa akili zake timamu alaf anaanza ufitini analiwa kichwa.
Note: Linakuja swala la sheria za nchi ama dola inaendeshwa vip? Kma ni yakiislam nawanatumia hvyo anawezaliwa kichwa vizuri akithibitika kma nchi ni mixer kunafatwa taratbu na sheria za nchi kuondoa taharuki kma kuwekewa zuio kwa mtu huyo kwa anachokfanya ama jela nk..
 
Unaongopa sheikh

Kuwa mkweli tu
 
Nyie wote ni wapagani mkuu, ukristo, budha wote ni wapagani.

Dini ni moja tu, Uislamu.....zingine ni upagani
😂😂😂 Kinachoufanya kuwa bora kuliko dini zengine au upagani ni nini fafanua,huko kukatana vichwa ndiyo dini ya haki?
 
Reactions: Cyb
😭😭😭😭 wanangu nimejikuta naogopa aiseeee..
Kama una roho nyepesi kama yangu usingalie kabisa
Hey kama mambo yenyewe ndo haya daaah..
 
Waisiharamu ukiwaendekeza kwa kuwachekea lazima wakupande kichwani ...
 
Kwa point ipi?
Sheikh,Mimi ni mwanazuoni mkubwa hapa Tanzania ,

Hakuna aya wala hadith sahihi inayosema mtu anayeingia na kutoka kwenye Uislamu mara tatu ndiyo anayekatwa kichwa.

Uislamu hauna kipimo cha “mara ngapi mtu ametoka kwenye dini” kama kigezo cha kumuua.

Hukumu ya murtad katika baadhi ya vitabu vya fiqh (sheria ya Kiislamu) inazungumzia mtu anayefanya uasi wa wazi dhidi ya Uislamu kwa ufitna na uchochezi wa kijamii au kisiasa, si kwa sababu tu ya kuingia na kutoka kwenye dini.

Mtume Muhammad (SAW) hakuwahi kutoa agizo kuwa mtu aingie na kutoka kwenye dini mara tatu ndipo auawe.

Kuna hadith maarufu inayosema: "Atakayeiacha dini yake, muueni." (Sahih al-Bukhari)
Hadithi haihitaji vipengere
 
Kwa akili za kawaida watu wakiachiwa Uhuru wa kumchagua dini NI vigumu kuuchagua uoslam kwenye fair competition...Kama vile sekondari mnasoma masomo yote form two uchague business au sayansi...uislam una mazuri machache Kama ndoa kwa wanaume matajiri..Basi...kuoa na kuacha Sheria nyepesi kabisa...
 
Dini inayohubiri AMANI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…