Elections 2010 Kuindoa mabango ndio adhabu tosha?

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,349
6,476
Nyie NEC kuwaambia CCM kuondoa mabango ya ikulu baada ya kujadili kwa siku mbili ndio adhabu tosha au nyingine itafuata? John vipi hapa? (Mwananchi 14/09/2010). Je, ni sahihi kwa JK kutoa ahadi kutumia mipango ya maendeleo ya serikali? Kama sio basi NEC na Tendwa angalieni ili hasa mipango ya Millennium Challenge Account (MCA - T) iliyosainiwa wakati Bush alipotembelea Tanzania!
 
Hawa NEC wapuuzi sana...........picha za serikali zitolewe, Je mipango ya serikali kutumiwa kama ahadi za ccm vipi?
 
Hiki ni kilio cha Siku zote. TUME YA CCM, TENDWA WA CCM, Tunategemea nini? HILI LA first Lady Kuzunguka NCHI NZIMA kumpigia muwe Kampeni ni sababu tosha za KUMWENGUA MUMUWE. GHARAMA ZAKE ZINAINGIA WAPI KWENYE ZIRE form walizo jaza. UTATA MTUPU.
 
Mpaka NEC na Tendwa waseme.
Hatuna haki ya kumjadili maana wenye sheria wanamkenulia meno na kumpigia saluti mvunja sheria
 
Back
Top Bottom